RC wa Kagera Apiga Marufuku Kuishangilia Simba

Ninamsapoti sana huyo Mkuu wa Mkoa na hata ikiwezekana ushindi upatikane hata kwa goli la mkono.
 
nafikiri kwa kufanya hivyo maendeleo ya kagera yatakua kwa kasi kubwa
 
Kuna mabint wala ndiz wanaonesha wananyege kweli kweli, nmemiss sana kipande hichoo!! watoto n wakalimu, wapole, hawapend mwanaume apate taabu!
 
Kama kiongozi wa mkoa huo ni wajibu wake na yupo sahihi
 
Yupo sahihi kabisa na huu ujinga upo Tnzania tuu. Huwezi kuukuta spain, italy ,uingereza wala ujerumani. Timu ya nyumbani inapocheza wazawa wote wanaisapoti. Sasa huku bongo unakuta eti limtu linaihujumu timu ya mkoani kwake kabisa tena watoto wake ndio wanaichezea linashiriki fitna eti simba au yanga ishinde au kwa kutaka sifa lenyewe ndio linaongoza kuchangia timu hizo mbili ambazo ndio janga la taifa zilizochangia hata kutuletea umasikini na kuacha kuichangia timu ya nyumbani ambayo unakuta mtu mmoja ndio anapambana kama alliance ya mwanza bwana bwire peke yake!!!!??
 
Sababu simba inaonekana kuikamia kagera sugar badala ya kuikamia mashujaa ya kigoma au wale mashujaa wa kijani
Iyo kampen itakua endelevu au kwa sababu wanacheza n Mabigwa wa Nchi
 
Dk 11 simba 1-0 kagera. CC : Gaguti
 
Kwa hiyo goli lilipoingia uwanja wote ulibaki kimya kutii amri ya RC?
 
Hivi karibuni, mwenzetu An Eagle alianika 'upuuzi' ambao RC huyo amekuwa akiufanya dhidi ya Simba, ila watu wakaishia kumtolea povu mleta uzi ule, An Eagle , jambo lililonisikitisha sana. Ila An Eagle alikuwa sahihi sana katika maelezo yake.

Watu huwa wananichukulia poa hapa ila taratibu wataanza Kunielewa. Na nilisema kuwa kwa ' Uchawi ' wa Kufuru tulioufanya leo na Maandalizi tuliyafanya leo Kagera Sugar watajuta Kutujua na hapo zipo goli 3 au 4 hadi mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…