Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tunaambiwa ni siri ya jeshiSwali zuri. Tungojee majibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaambiwa ni siri ya jeshiSwali zuri. Tungojee majibu.
Hapa amesema kweli, ila pia ng'ombe akichinjwa violently, kuna enzayme za hasira zinaingia kwenye blood stream na kuishia kwenye nyama, mlaji wa hiyo nyama anaiingiza mwilini na unakuwa violent!. Angalia makabila ya wafugaji walivyo violent!. Angalia wanyama wala nyama compared to wanyama wala majani!. Angalia vegetarians walivyo cool compated to wala red meat.Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amewataka wadau wa mifugo kutoa elimu ya ufugaji bora kwa wafugaji ili kuwawezesha kufanya ufugaji wa kisasa ambao utaepusha ng'ombe kutembea umbali mrefu kutafuta malisho na kusababisha nyama yake kuwa ngumu
Akizungumza wakati wa kufunga maonyesho ya wakulima - Nanenane - Mkuu huyo wa Mkoa amesema kuwa ili kuhakikisha inapatikana nyama laini na yenye soko lazima elimu itolewe kwa jamii kuanzia ngazi za chini hadi za juu.
"Jamii iache kufunga ng'ombe kwa stress, ng'ombe anatembea kutoka pori la Karagwe hadi Ngara, kesho wamchinje lazima nyama yake iwe ngumu," amesema Chalamila.