RC wa Kagera, Chalamila asema Ng'ombe wanaofugwa kwa stress wana nyama ngumu

Amekaririshwa! Kwenye mnyororo wa thamani wa nyama, kuna kuwatembeza ng'ombe mwendo mrefu au muda mrefu ili kuyafanya mafuta yasambae kwenye minofu. Ukiwalisha chakula kizuri tu bila kuwatembeza watakuwa mafuta mengi badala ya nyama yenyewe. Hivyo asilimia kubwa utaitupa kwa vile itakulazimu kuyakwangua hayo mafuta.
 
Hapa amesema kweli, ila pia ng'ombe akichinjwa violently, kuna enzayme za hasira zinaingia kwenye blood stream na kuishia kwenye nyama, mlaji wa hiyo nyama anaiingiza mwilini na unakuwa violent!. Angalia makabila ya wafugaji walivyo violent!. Angalia wanyama wala nyama compared to wanyama wala majani!. Angalia vegetarians walivyo cool compated to wala red meat.

Wenzetu wazungu kabla nyama haijachinjwà anakuwa sadated kwa kulambishwa sukari guru, kisha brain ina stopishwa kwanza, to cut communicatins zote, ndipo anachinjwa bila kusikia maumivu, hivyo hizo enzaymes za hasira hazipo!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…