Uchaguzi 2020 RC wa Mwanza, John Mongela avunja Mwiko wa Kampeni Kwa Kuongea Ukweli Bayana!, "Tukimpa Mitano Tena, JPM Kuigeuza Tanzania Nchi ya Maziwa na Asali"

mnachukulia poa
 
Mtu huyu kwa miaka mitano amewabambikia Watu kesi mbalimbali bila aibu ndiye ataigeuzanchi kuwa ya maziwa na asali?? Mtu huyu huyu aliyepora rambi rambi na kuifanya pato la Serikali?? Mtu huyu aliyepora fedha za watu kwenye bureau de change tumpe tena mitano ili aweze kutimiza malengo yake ya kuzipora mabenki binafsi??

Wote wanaompigia debe huyu Mporaji na Mwonevu ni Wasaidizi wake ktk uporaji.
 
Kinachonisikitisha ni kupokonya asali na maziwa ya RC.Makonda, naamini naye angekuwa analamba asali na huku akitwambia Rais anatupeleka kanaani, mpelekee kipadha sauti sasa labda anaweza twambia neno kuhusu Rais.
 
We unadhani pascal nikama bolingonangai wachadema! limtu linatembea nje na ndani kz nikutukana viongozi na kuisemea nchi mabaya lakazi gani.
 
Unatafuta cheo kwa nguvu Paskali....Kweli wasukuma huwa hamtabirikii!
 
Nyerere aliwahi kusema neutrality kwenye siasa ni ngumu sana kuliko kufufua mtu.
 
Kada katoa habari ya kikada...

Haya makada pambaneni ni hii habari yenu ya kikada...

Ni heri round hii umekuja kikada na ume-declare wewe ni kada na wala hujaja kinafiki kama zamani..

Makada kadaneni!
 
Mayala kwetu inamaanisha njaa
 
Kuna mhalifu Nchi hii aliyeitia hasara kupitia wizi, ufisadi na kuwadhulumu Watanzania mbalimbali trillions kama huyo anayejiita MWENDAWAZIMU?

Ukiwa
Ukiwa mhalifu utakuwa muoga, ukiwa myenda haki huwezi kuwa mulga,
kwa hiyo ninyi wahalifu mtaogopa sana.
 
Ndio maana mm nasema wakristo na waislamu watatupa katika moto mkali kama vitabu vyao vinavyoathiri kwa watenda maovu. Bila ya.......................Tanzania isingefika hapa
a. MUNGU
b. Magufuri
c. Nyerere
d. Mwinyi
e.Mkapa
f.Kikwete
 
RC atueleze ilani ya ccm kwa mwaka 2015 amesimamia nini ktk mkoa wake hasa kwenye huduma za jamii, wakulima, wavuvi,wafanyabiashara,barabara???Nchi ya Asali na maziwa kwa mfumona katiba tuliyo nayo ni safari ambayo haina mwisho na wala hatutafika
 
Hii Serikali ya WATEKA NYARA ikibahatika kurejea tena madarakani basi mjue TUTAPOTEZWA SANA, mamia kwa maelfu zaidi ya kule Kibiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…