Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Hawa vibaka wanapata fedhea wakijulikana, niliambiwa Thobias Mwesigwa sahivi anaogopa kwenda kwao kijijini uko Missenyi baada ya kuanikwa mitandaoniJina lenyewe tu limekaa kimtego! Sudi?
Mwambie mtoa mafa aliona wapi upelelezi wa kubembeleza kama wanaimba taarabu?Bila hivyo wahalifu hawawezi kusema akiteswa ndipo humpeleka askari kwa washirika wake alikoficha au alipouza..
Mfano makosa ambayo mi nimeshuhudia watu wanapigwa na kuonesha ushirikiano ni Silaha. Huwezi kumuhoji mtu mwenye bunduki kwa maneno tuu criminals hawatoi ushirikiano kirahisi.
Kuna Kesi ya yule mzungu aliyekufa Tanzania 2017 Masaki Aliyekuemo kwenye deal alikua anakaa Majumba sita bunduki ilikua imeifadhiwa kwenye makaburi ya kinondoni lakini kulikua na kipigo ambacho si cha kawaida Bunduki ikaenda kuwa retrieved Makaburi ya kinondoni hawa jamaa walifungwa Kunyongwa hadi kufa.
Iko mifano mingi kuna kesi za mauji ambazo watu wana minywa na kwenda kuonesha maiti zilipo na Polisi wakishakutandika wanajua kama umefanya kweli au unakubali kwa woga tuu. Hii njia ni nzuri kwa wahalifu wengi ni rahisi kujua nani kahusika au nani hajahusika.
Wapo pia wezi wa bodaboda ambapo mara nyingi humuua dereva hawa bila kipigo hawatajani na kusema ukweli.
Kipigo ni muhimu sana katika upelelezi.
Eti Bunduki umeiweka wapi mwanangu?😁😁😁Mwambie mtoa mafa aliona wapi upelelezi wa kubembeleza kama wanaimba taarabu?
Ikiwa wamejuwa haukufanya wakati wamesha kutandika haki yako utapataje?wakishakutandika wanajua kama umefanya kweli au unakubali kwa woga tuu.
Bora kuwa malaika.Bila hivyo wahalifu hawawezi kusema akiteswa ndipo humpeleka askari kwa washirika wake alikoficha au alipouza..
Mfano makosa ambayo mi nimeshuhudia watu wanapigwa na kuonesha ushirikiano ni Silaha. Huwezi kumuhoji mtu mwenye bunduki kwa maneno tuu criminals hawatoi ushirikiano kirahisi.
Kuna Kesi ya yule mzungu aliyekufa Tanzania 2017 Masaki Aliyekuemo kwenye deal alikua anakaa Majumba sita bunduki ilikua imeifadhiwa kwenye makaburi ya kinondoni lakini kulikua na kipigo ambacho si cha kawaida Bunduki ikaenda kuwa retrieved Makaburi ya kinondoni hawa jamaa walifungwa Kunyongwa hadi kufa.
Iko mifano mingi kuna kesi za mauji ambazo watu wana minywa na kwenda kuonesha maiti zilipo na Polisi wakishakutandika wanajua kama umefanya kweli au unakubali kwa woga tuu. Hii njia ni nzuri kwa wahalifu wengi ni rahisi kujua nani kahusika au nani hajahusika.
Wapo pia wezi wa bodaboda ambapo mara nyingi humuua dereva hawa bila kipigo hawatajani na kusema ukweli.
Kipigo ni muhimu sana katika upelelezi.
UNatumia sheria au matako?.Bila hivyo wahalifu hawawezi kusema akiteswa ndipo humpeleka askari kwa washirika wake alikoficha au alipouza..
Mfano makosa ambayo mi nimeshuhudia watu wanapigwa na kuonesha ushirikiano ni Silaha. Huwezi kumuhoji mtu mwenye bunduki kwa maneno tuu criminals hawatoi ushirikiano kirahisi.
Kuna Kesi ya yule mzungu aliyekufa Tanzania 2017 Masaki Aliyekuemo kwenye deal alikua anakaa Majumba sita bunduki ilikua imeifadhiwa kwenye makaburi ya kinondoni lakini kulikua na kipigo ambacho si cha kawaida Bunduki ikaenda kuwa retrieved Makaburi ya kinondoni hawa jamaa walifungwa Kunyongwa hadi kufa.
Iko mifano mingi kuna kesi za mauji ambazo watu wana minywa na kwenda kuonesha maiti zilipo na Polisi wakishakutandika wanajua kama umefanya kweli au unakubali kwa woga tuu. Hii njia ni nzuri kwa wahalifu wengi ni rahisi kujua nani kahusika au nani hajahusika.
Wapo pia wezi wa bodaboda ambapo mara nyingi humuua dereva hawa bila kipigo hawatajani na kusema ukweli.
Kipigo ni muhimu sana katika upelelezi.
Haki si unaachiwa lakini lazima mawe yote yageuzweIkiwa wamejuwa haukufanya wakati wamesha kutandika haki yako utapataje?
Siyo kila kitu kimeandikwa kwenye sheria upelelezi sometimes in traits ambazo mtu anazaliwa nazoUNatumia sheria au matako?.
Bila hivyo wahalifu hawawezi kusema akiteswa ndipo humpeleka askari kwa washirika wake alikoficha au alipouza..
Mfano makosa ambayo mi nimeshuhudia watu wanapigwa na kuonesha ushirikiano ni Silaha. Huwezi kumuhoji mtu mwenye bunduki kwa maneno tuu criminals hawatoi ushirikiano kirahisi.
Kuna Kesi ya yule mzungu aliyekufa Tanzania 2017 Masaki Aliyekuemo kwenye deal alikua anakaa Majumba sita bunduki ilikua imeifadhiwa kwenye makaburi ya kinondoni lakini kulikua na kipigo ambacho si cha kawaida Bunduki ikaenda kuwa retrieved Makaburi ya kinondoni hawa jamaa walifungwa Kunyongwa hadi kufa.
Iko mifano mingi kuna kesi za mauji ambazo watu wana minywa na kwenda kuonesha maiti zilipo na Polisi wakishakutandika wanajua kama umefanya kweli au unakubali kwa woga tuu. Hii njia ni nzuri kwa wahalifu wengi ni rahisi kujua nani kahusika au nani hajahusika.
Wapo pia wezi wa bodaboda ambapo mara nyingi humuua dereva hawa bila kipigo hawatajani na kusema ukweli.
Kipigo ni muhimu sana katika upelelezi.
Elements ya Jinai zote upelelezi wake ndiyo uko hivyoTunasemea kesi za kisiasa acha upumbavu MNEC alikua na shida gani ?
Wewe ni mpumbavu, mkubwa, unawaza kupiga tu, na wanao teka watu,kuiba kura mbona hawapigwi au hizo sio jinaiElements ya Jinai zote upelelezi wake ndiyo uko hivyo
Jamaa kiazi kweliTunasemea kesi za kisiasa acha upumbavu MNEC alikua na shida gani ?
Kwa hio kuteka vijana wa Bavicha na kuwaua ndio upelekeziMwambie mtoa mafa aliona wapi upelelezi wa kubembeleza kama wanaimba taarabu?
Mpaka aje atekwe na kufirwa mjomba wako ndio utaelewa somo vizuri maana nyie nguruwe wa kizimkazi ni kusikia kwa kenge.Bila hivyo wahalifu hawawezi kusema akiteswa ndipo humpeleka askari kwa washirika wake alikoficha au alipouza..
Mfano makosa ambayo mi nimeshuhudia watu wanapigwa na kuonesha ushirikiano ni Silaha. Huwezi kumuhoji mtu mwenye bunduki kwa maneno tuu criminals hawatoi ushirikiano kirahisi.
Kuna Kesi ya yule mzungu aliyekufa Tanzania 2017 Masaki Aliyekuemo kwenye deal alikua anakaa Majumba sita bunduki ilikua imeifadhiwa kwenye makaburi ya kinondoni lakini kulikua na kipigo ambacho si cha kawaida Bunduki ikaenda kuwa retrieved Makaburi ya kinondoni hawa jamaa walifungwa Kunyongwa hadi kufa.
Iko mifano mingi kuna kesi za mauji ambazo watu wana minywa na kwenda kuonesha maiti zilipo na Polisi wakishakutandika wanajua kama umefanya kweli au unakubali kwa woga tuu. Hii njia ni nzuri kwa wahalifu wengi ni rahisi kujua nani kahusika au nani hajahusika.
Wapo pia wezi wa bodaboda ambapo mara nyingi humuua dereva hawa bila kipigo hawatajani na kusema ukweli.
Kipigo ni muhimu sana katika upelelezi.
Umewakamata? Kama ukimkamata mtekaji lazima apigwe aoneshe mateka yuko wapi? Na kwanini amemteka? Ametumwa na nani? Amelipwa kiasi gani? Kama kuna instrumentalies zozote zimetumika wakati wa commission of offence kama silaha, Pingu au hata Gari lazima viwe seized kama ushahidiWewe ni mpumbavu, mkubwa, unawaza kupiga tu, na wanao teka watu,kuiba kura mbona hawapigwi au hizo sio jinai