RCO wa mkoa wa Mwanza, ashitakiwe Kwa uharifu dhidi ya ubinadamu.

We ni pumbavu moja anaosha vyombo vya wazungu! Eti Mafwele anajificha? Mtu uko USA bado zoba hivyo? Au uko USA ya Arusha umevuta zako bangi?
 
We ni pumbavu moja anaosha vyombo vya wazungu! Eti Mafwele anajificha? Mtu uko USA bado zoba hivyo? Au uko USA ya Arusha umevuta zako bangi?
Mkuu hao waosha vyombo ni ma k sana Mafwele atajifichaje kwanza ukiachana na Body wake kwake yuko entitled na Ulinzi masaa 24
 
Upo 'consistent' sana kuhusu maswala haya ya kuumiza watu. Itabidi tuanze kukutambuwa wewe kuwa mmoja wa watu wanaojihusisha na uovu huu.

Unafurahia sana mateso ya binaadam; kwa nini?
 
Hawa vibaka wanapata fedhea wakijulikana, niliambiwa Thobias Mwesigwa sahivi anaogopa kwenda kwao kijijini uko Missenyi baada ya kuanikwa mitandaoni
Ni jirani yangu huko kijijini na majuzi kati tu tumekutana huko tukanywa "enkonyagi". We upo mitandaoni eti anaogopa kwenda Kijijini? Pumbavu!!
 
Kuwawin waTz ni rahisi hata ukimuulia mama yake ama mwanae, we mpe pesa na vitisho tu.
 
Uthubutu hatuna vijana wa kitanzania, ukirejea kauri ya mwalimu

"Uwezo wa kumpiga tunao, sababu ya kumpiga tunayo, na nia ya kumpiga tunayo."

Tunao uwoga tuu
 
Kumtia mtu spoke ya baiskeli kwenye uume ili akupe milion 500 ni ushetani wa hali ya juu
 
Mnec CCM shemeji yangu kipenzi chonchorio Daniel hadi leo hii hatujui kama uko hai au ulishakufa😭 wakafuata wadogo zako kina siza na rafiki yake waliotekwa pale Nzega hadi leo hatujui wako wapi😭😭 ila wote waliofanya haya watalipia kwa namna moja au nyingine
 
Watanzania ni wajinga sana mtu kama uyo Sudi I am sure ukiamua kumuwinda unampata vizuri tu, hao vibaka kupata mke, watoto wake ni rahisi, target ata mtoto wake apate adabu
 
Kumtia mtu spoke ya baiskeli kwenye uume ili akupe milion 500 ni ushetani wa hali ya juu
Hawa vibaka hawajakuta na retaliation, yaani ikitokea mmoja akafanyiwa revenge ndo akiri zitawakaa, kama huyo kibaka Sudi, unakuta mtoto wake anasoma hapo UDSM mke anaenda market mnashindwa nini kuwatarget Ili na wao waonje maumivu
 
Mkuu hao waosha vyombo ni ma k sana Mafwele atajifichaje kwanza ukiachana na Body wake kwake yuko entitled na Ulinzi masaa 24
Pole kibaka, we unamjua Mafwele kuliko Mimi? Basi muulize why Bar zote alizokuwa anatanua kabla ya kujulikana mbona siku hizi anaogopa kwenda?

Jitu linaishi kama digidigi I am sure 100% Mafwele atakuwa targeted na ndugu wa aliowaumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…