RCO wa mkoa wa Mwanza, ashitakiwe Kwa uharifu dhidi ya ubinadamu.

Mwambie mtoa mafa aliona wapi upelelezi wa kubembeleza kama wanaimba taarabu?
Upo nyuma sana ya muda kwa sababu ya kufungiwa ndani ya box katika maisha yako.Upelelezi unaenda kisayansi na sivyo unavyowaza.Ingekua ni hivyo,basi hakuna maana ya vyuo au vitengo maalumu vya upelelezi wa jinai.Tatizo kubwa la askari wa Tanzania ni kutopenda kushughulisha akili,uvivu wao na kukosa mbinu za mahojiano na uchunguzi kitaalamu bila matumizi ya nguvu,ukatili na ujinga.Mtuhumiwa siyo mtu ambaye ameshakutwa na hatia au mfungwa.Kuna Sheria zinazombana na kumuongoza mpelelezi au askari ili apate ushahidi.Jielimishe na acha mazoea.Mtakuja kufungwa/kupata adhabu hadi ninyi na familia zenu mjute.Bogus!
 

Na akipigwa na ikawa sio kweli? Hemu ficha kidato chako Cha 4 basi kwa kunyamaza?
 
Ndo upuuzi wenyewe huo, ndugu zake wameingiaje hapo? Uchochezi TU Sasa wameteswa chadema kwann kisasi kisiende ccm. Binafs nashindwa kuwaelewa wanaharakati mlotimkia nchi za watu.
 
Mnawapiga watuhumiwa ili kukiri.
Je unajua Katiba imeelekeza namna ya mtuhumiwa kuhukumiwa?

Mtuhumiwa siyo mhalifu
 
Ndo upuuzi wenyewe huo, ndugu zake wameingiaje hapo? Uchochezi TU Sasa wameteswa chadema kwann kisasi kisiende ccm. Binafs nashindwa kuwaelewa wanaharakati mlotimkia nchi za watu.
Crazy son of a bitch,mtoto na mke wa Mdude nani anawatunza, huyu kibaka anaua baba wa mtu, mume wa mtu then unasema wasi target watoto wake
 
Angalikua John ungaliamini?
Fuatilia kundi la watekaji na wauaji wa raia wasio na hatia ni akina nani! Kwa mfano yule Sheikh wako Mwaipopo anamiliki mpaka genge lake binafsi la uhalifu! Jina lake kamili ni Sheikh John Mwaipopo?
 
Ndo upuuzi wenyewe huo, ndugu zake wameingiaje hapo? Uchochezi TU Sasa wameteswa chadema kwann kisasi kisiende ccm. Binafs nashindwa kuwaelewa wanaharakati mlotimkia nchi za watu.
Hao sio wanaharakati ila wanachumia matumbo tu
 
Watanzania ni wajinga sana mtu kama uyo Sudi I am sure ukiamua kumuwinda unampata vizuri tu, hao vibaka kupata mke, watoto wake ni rahisi, target ata mtoto wake apate adabu
Ni kweli kabisa ujinga unaleta uoga unakosesha maarifa juu ya nini mtu afanye, ni nini apiganie inapelekea watu waone na kuchukulia poa vile watanzania wanafanyiwa yaani wengi wanaona ni mambo ya kawaida hasa kama halijamgusa ( masikini na wasio na mwamko wa elimu yatawapata wapi? Ndiyo maana wanafurahia likimkuta mtu jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…