TANZIA RCO wa Polisi Dodoma afariki Dunia

TANZIA RCO wa Polisi Dodoma afariki Dunia

Usihishi na chuki kisa siasa Samehe move on
Yes/No ,kisa wewe huna ndugu waliopotea, kubambikiwa kesi au kuuliwa ndio maana unaona sawa, elewa hadi muda huu kuna familia hazina closure kuhusu what's kiliwatokea wapendwa wao,huyu mamluki eti naye atazikwa kwa imani zake wakati hakuuishi maisha ya kumpendeza Allah, kwangu ni mtu katili na karma umelipa,always muda na history ni mwamuzi wa haki, bila shaka atakwenda kujumuika kwenye ile address, na LNG nyingine ipo njiani kupelekwa kwenye address hiyo
 
Hawa ndio wanawasumbua bodaboda mjini, kwenye roundabout hadi kusababisha foleni katikati ya miji...wanasababisha hadi watu kuchelewa makazini na wengine kuchelewa kwenye ma interview.....wapumzike kwa amani. Watu wa hovyo sana, wanapenda rushwa...Mungu awaweke mahali panapostahili tu
 
View attachment 2532832

Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kwamba Ofisa huyo amefariki Dunia .

Kwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa Dodoma hawapewi dhamana .

Miongoni mwa wahanga wa karibu ni Twaha Mwaipaya , ambaye hata ndugu zake walikatazwa kumpelekea Chakula .

Apumzike kwa Amani , Amina
Apumzike Kwa hukumu stahiki
 
Hili pumbavu mtu kajifia zake huko badala kumuombea kheri ya kuzimu linaleta mambo ya Chadema tena.
Inahusiana nini na kifo chake we mtu wa ajabu kabisa
Nani alikudanganya kwamba kuombewa kunasaidia mtu kwenda kuzimu? Matendo yako ukiwa hai ndiyo tiketi ya kwenda motoni au peponi nothing else. Kama alikuwa anatesa wenzake, kuwafunga kwa hila au rushwa ya cheo ili kuifurahisha dunia ajiandae tuu kwa matendo yake, atavuna alichokipanda.
 

Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kwamba Ofisa huyo amefariki Dunia.

Kwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa Dodoma hawapewi dhamana.

Miongoni mwa wahanga wa karibu ni Twaha Mwaipaya, ambaye hata ndugu zake walikatazwa kumpelekea Chakula.

Apumzike kwa Amani, Amina
Afadhali ameenda chuo cha mafunzo ya haki na utu akajifunze na apande cheo hadi IGP wa malaika
 
Mkuu update ya lema vipi
Kishaanza safari .

FB_IMG_1677593350538.jpg
 
Back
Top Bottom