Ni aibu kubwa mkoa unakuwa na watu zaidi ya 600K na Hospital ya Rufaa lakini inakosa vifaa muhimu kama machine ya CTI Scan ambayo gharama yake haizidi 4B.
Mnaridhika kabisa wagonjwa kupewa rufaa kwenda mikoa mingine? Just imagine mnapoteza watu wangapi kwa ukosefu wa vifaaa muhimu kama hicho?
RC chukua hii:
Kaa na timu yako, analyze maeneo muhimu ya kupata hizo fedha, alika taasis, banks na mashirika kadhaa, matajiri, makanisa na wabia!
Elezea changamoto ya ukisefu wa huduma husika kwa watu wa mkoa wako! alezea matatizo kadhaa yanayokuwa diagnosed kwa kutumia mashine husika.
Fanya rejea ya watu walioshindwa kwenda Dar, Dom, Mwanza kwa sababu ya kukosa kipato.
Fungua akaunt maalimu, iite i e Vifaa vya afya Mkoa X, waombe mchango wadau uliyo waalika.
Jipeni muda, let say hata mwaka au miaka miwili, lengo ni kufanikisha upatikanaji wa jambo husika.
Fedha itakayopatikana, kama haikutosha, nenda moja kwa moja kwa Wizara, let say umepata 1.87B, omba msaada kuongezewa salio lililobaki! nakuhakikishia salio lililobaki unalipata ndani ya masaa 24 tu. Juhudi zako na maarifa zitakufanya kupata mengin mengi.
RC's nyie ndio marais wa mikoa,, kuweni wabunifu, kuna mambo mengi naona mnapwaya sana, mpo tu kulinda siasa za chama!
RC ana nguvu kubwa, na ndio muwakilishi wa Rais wa nchi kwenye eneo husika, hivyo unapodhamirua jambo, hakikisha linatimia, iwe mvua iwe jua. 4B kwa mkoa ni pesa kidogo sana
Dunia ya leo inahitaji ubunifu na ushindani!
Inauma sana.