Re: Certified copies of original academic certificates!!!!!!!!!

Insabhunsa Gusa

Senior Member
Joined
May 13, 2011
Posts
109
Reaction score
88
Wadau,

Naomba nifafanulieni kuhusu Certified Copies...Kuna baadhi ya watangaza ajira/kazi hutaka certified copies..Hii ina maaana gani?? Ni original copy iliyopigwa muhuri wa chuo au muhuri ya mwanasheria?? Naomba ufafanuzi, huenda ninakosa kazi kwa ajili hii..Mimi niiapply kazi, hutoa copies za chuo na sekondari na kuambatanisha na letter of application basi, napeleka. Labda kuna jambo lintakiwa kufanywa kwenye copies za vyeti?? Nisaidieni leo jamani..,Kuna kazi nime apply na leo jioni ndo deadline, asanteni...
 
Umeshaambiwa certified COPIES of original academic certificates na sio certifified ORIGINAL academic certificates.
 
Wadau,

Naomba nifafanulieni kuhusu Certified Copies...Kuna baadhi ya watangaza ajira/kazi hutaka certified copies..Hii ina maaana gani?? Ni original copy iliyopigwa muhuri wa chuo au muhuri ya mwanasheria?? Naomba ufafanuzi, huenda ninakosa kazi kwa ajili hii..Mimi niiapply kazi, hutoa copies za chuo na sekondari na kuambatanisha na letter of application basi, napeleka. Labda kuna jambo lintakiwa kufanywa kwenye copies za vyeti?? Nisaidieni leo jamani..,Kuna kazi nime apply na leo jioni ndo deadline, asanteni...

Certified copies ni photocopies za vyeti zilizoizinishwa na Chuo kinachotoa vyeti au kama ni mbali unaenda mahakamani na photocopy unazotaka kupeleka kwenye kazi husika pamoja na vyeti halisi (original) ili wadhibitishe. Watakugongea muhuri unosema ni certified copies of original na sahihi yao. Kwishine
 
Back
Top Bottom