Re. Kiingereza..na dada zetu wa ki tz

Never mind the fact that is not com exam or UE let the point stand as it putting into consideration that the msg has been delivered.
 

Yaani umenena sawa kabisa. Wangejua wakenya wanavyoongea zaidi venacular languages. Nenda Nairobi, kikuyu ktk matatu, sokoni
 
Wengine hilo zoezi la kutongozana tulishalipitia miaka mingi iliyopita hivi sasa tunapambana na zoezi la kutawala mahusiano ndani ya hizi ndoa zetu tu.
 
Hehe ilo nalo neno, kuna issue niliwahi kusikia. Kuwa kuna jamaa English yaan British alikuja tz. Alikimbia homecare sasa kufika bongo wacha wadada wamrukie kisa mzungu likaa 8 yrs hajuilikani kakimbilia wapi ,then alipoamua kurud.kashikwa kurejeshwa mental health home care kuendelea na matibabu but bcz he was English wanawake wapate nn aliporud anajua kiswahili anahadithia jinsi girls walivyokuwa wakimfukuzia hali ya kuwa mental prob
 
Nachukia mijanaume inayoongea kiingereza, raha ya kutongozwa mtu atumie kiswahili loh......
 
sounds awesome, nakumbuka nikiongea na demu yoyote mkali kwa kingereza cha Marekani anajichekesha na tukiwa ndani ni romance kwenda mbele, anacheka mimi nakupiga finga
 
Hivi kuna watu bado wanatongoza kwa kutumia mdomo?Hebu acheni mambo analogia nyieeeeeee.........hizi siyo nyakati za "Njiwa peleka salamu"
 
hayo mambo yapo sehemu nyingi tu,kuna wengine ambao sio wa tz wanaishi nje ya nchi wanapenda watu wakiongea kifaransa,au kingereza chenye accent ya ki faransa.mimi kama mimi huwa napenda wadada wa tanga wanavyoongea kiswahili cha tanga,naona raha tu kuwasikiliza
 
Ulimbukeni na ushamba! Ni bora tukajidai na lugha zetu za asili na kiswahili. Maana hao wazungu wanajifunza kiswahili na lugha zingine za kikabila.
 
Ovyo kabisa hao!
 
Hahahahahahahahahahahahaha

kweli kabisa

(sili,silali na kuota wewe)
 
Ulimbukeniiii, ungekuwa unaflow usingesema hivyo ina raha yake ,mahanjumati in otherwords.
 
I like the guy who is maltilingual but that can not be a motivating fator to fall on him but only an added advantage.

HAPO PENYE WEKUNDU UMENIKUNA KWELI KWELI...mtotomtamu (sweetbaby)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…