Re. Kiingereza..na dada zetu wa ki tz

Re. Kiingereza..na dada zetu wa ki tz

Naunga mkono hoja kuna jamaa yangu Mkenya amewala sana wadada wa pale Mogas mpka wake za watu kisa ni ngeli...
 
Nafurahi kwamba umesoma between the line na umeelewa kila nilichoandika hasa ukizingatia hii sio final draft thesis
 
Tutongozeni kwa kiinglish sasa ila sio kile cha kuvunjika vunjika,
 
washamba kweli....mi nafanya kazi na wachina....nikiongea kiswahili kama kichina....nikicheka ni kichina tupu....nikitembea ndo utadhani shaolin....nini kizungu bana....

Hehehhehe.... yaani sina mbavu...nimecheka sana
 
nadhani hii ni kutokana pia na tamthilia wanazoangalia ndo zinawadanganya. wanatamani maisha yale mpaka wanatamani nao watongozwe kwa kiingereza.
 
Nimegundua dada zetu wa ki Tz wanavutiwa sana na wanaume wanoongea Kiingereza...haijalishi wa nchi gani.
Pia huwa ni vigumu kukataa kama wakitongozwa kwa kidhungu.... ndo maana wakaka wa kikenya wanatumalizia dada zetu... mfano hai ni wadada wengi wanaofanya kazi ofisi moja na wakaka wakenya eti nao wana lafudhi ya kikenya kwenye kiinglish chao...au kama kuna mgeni ambaye hajui kiswahili ofisini basi utakuta anajistorisha na huyo mkaka kwa kizungu kwa sauti alafu utakuta anacheka hata kama kitu
hakichekeshi.
The Dadaz ought to emancipate themselves from mental slavery. Au wanaiangalia kwamba kidhungu equals money in the pockets. Lakini Boflo kasema hata waeza maliza mambo bila malipo.
 
Naunga mkono hoja kuna jamaa yangu Mkenya amewala sana wadada wa pale Mogas mpka wake za watu kisa ni ngeli...

Sisi hapa tunaye Mmalawi...yayayayayaya..yaani nafikiri sasa ivi anawarudia raundi ya Tatu kama sio ya pili. Jamaa anawatafuna kwa shift. Ni balaa.
 
aahgh No No, BIG NO....siungi mkono hoja...wale jamaa ni ving'ang'anizi tuu hakuna lolote. wanashikwa sana masikio na dada zetu wa kibongo kwenye suala zima la malavidavi kwao nao walishajua ni dhaifu sana, kwao mwanamke kumpakata na kumlisha sio kitu cha kawaida kabisa..kule kwao wanadundwa sana na wanawake wao hawana muda wa kubembeleza mwanaume...
 
sounds awesome, nakumbuka nikiongea na demu yoyote mkali kwa kingereza cha Marekani anajichekesha na tukiwa ndani ni romance kwenda mbele, anacheka mimi nakupiga finga

hahahha hataki kuitwa Laaziz,Mahabuba....ila ukimwita Babe anafurahi.
 
Back
Top Bottom