Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I don't have to hide, but he has never asked!
Ila I have his ATM pword sababu akisafiri na alikuwa na malipo fulani ilibidi aniachie,
Also we have a joint acct,
Ila email zangu za ofisini kwakweli simpi pword,bcoz its unethical, likewise sigusi zake, japo anaweza kuziona zikiingia kwenye haya ma bb
Kama ni mkeo au mumeo, mimi sioni tatizo.Hii nimeishuhudia kwa baadhi ya wapenzi hapa mjini tabia ya wapenzi kutaka kujua namba za siri za akaunti za wapenzi wao Naamaanisha ATM Cards, Email address na nyinginezo.
Je hii ni FAIR..?
<br />Hii nimeishuhudia kwa baadhi ya wapenzi hapa mjini tabia ya wapenzi kutaka kujua namba za siri za akaunti za wapenzi wao Naamaanisha ATM Cards, Email address na nyinginezo.<br />
<br />
Je hii ni FAIR..?