Re:kumpa password..mupenzi

Angalieni CD-ROM drives zenu kabla ya kufanya chochote kwenye computer....wadada wengine(hata wanaume) wanaweka software kwenye CD-ROM drive, ambayo inarekodi passwords,and everything that you did online...easily!!
 
I don't have to hide, but he has never asked!

Ila I have his ATM pword sababu akisafiri na alikuwa na malipo fulani ilibidi aniachie,

Also we have a joint acct,

Ila email zangu za ofisini kwakweli simpi pword,bcoz its unethical, likewise sigusi zake, japo anaweza kuziona zikiingia kwenye haya ma bb
 

Good girl
 
Hii nimeishuhudia kwa baadhi ya wapenzi hapa mjini tabia ya wapenzi kutaka kujua namba za siri za akaunti za wapenzi wao Naamaanisha ATM Cards, Email address na nyinginezo.

Je hii ni FAIR..?
Kama ni mkeo au mumeo, mimi sioni tatizo.
 
Hii nimeishuhudia kwa baadhi ya wapenzi hapa mjini tabia ya wapenzi kutaka kujua namba za siri za akaunti za wapenzi wao Naamaanisha ATM Cards, Email address na nyinginezo.<br />
<br />
Je hii ni FAIR..?
<br />
<br />
Kama ni kicheche hapana ila mke sijaona cha ajabu kuwa na password zangu karibu zote kuanzia za ATM na hata za M Pesa tena mke wako hawezi kuchukua hela kwa matumizi ya hovyohovyo tu ila akiona simu yako ina cr. 5000 na yake ina 8000 atachukua ile ya kwako na kujipunguzia kwa raha zake na haoni shida ila ukimpa kimeo pas
sword kama wewe ni mwaipopo itakula kwako mazima na utajuta kuzaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…