Wambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 558
- 324
Habari za leo wadau wa jukwaa la JF Doctor, mwenzenu nilikua na muda mrefu sana sijafanya ngono kama miaka sita hivi, sasa nimepiga show ya kufa mtu na dada fulani hapa majuzi. tangu baada ya mechi hiyo nimekua najisikia vitu ambavyo sivielewi kabisa mwilini mwangu. Najisikia kama vitu vinachoma choma mwilini mwangu alafu mifupa ya shingo inauma sana pia nasikia miguu inawaka moto, nilivojisikia hivyo nilikwenda kupima Ukimwi na nimekutwa sina, ntarudi baada ya miezi mitatu. kuna mwenye idea hili tatizo litakua linasabibishwa na nini.. naomba msaada tafadhali yani nasikia vitu vinachomachoma mwilini.. inawezekana imechangiwa na hii ngono????? msaada wadau