Re: Moyo umehamia kwenye mapafu

Re: Moyo umehamia kwenye mapafu

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
558
Reaction score
324
Habari za leo wadau wa jukwaa la JF Doctor, mwenzenu nilikua na muda mrefu sana sijafanya ngono kama miaka sita hivi, sasa nimepiga show ya kufa mtu na dada fulani hapa majuzi. tangu baada ya mechi hiyo nimekua najisikia vitu ambavyo sivielewi kabisa mwilini mwangu. Najisikia kama vitu vinachoma choma mwilini mwangu alafu mifupa ya shingo inauma sana pia nasikia miguu inawaka moto, nilivojisikia hivyo nilikwenda kupima Ukimwi na nimekutwa sina, ntarudi baada ya miezi mitatu. kuna mwenye idea hili tatizo litakua linasabibishwa na nini.. naomba msaada tafadhali yani nasikia vitu vinachomachoma mwilini.. inawezekana imechangiwa na hii ngono????? msaada wadau
 
Nenda kwa daktari, umuone na kufanyiwa vipimo.
Hongera kwa show kali, natumaini ulikumbuka kinga?
 
Kweli hiyo show ilikuwa balaa! Inaonekana hujafanya SEX muda mrefu (6 yrs) na hivyo kwa kuwa ulipelekeshwa kisawasawa ina kama ulikuwa unafanya zoezi zito lakini tamu na wewe ukawa unajitahidi kwenda nalo ingawa kiukweli linakuumiza....ni kama ukiwa hujafanya mazoezi muda mrefu halafu ukayavamia kwa ghafla, lazima ukitoka hapo siku ya pili mwili mzima unauma...ndivyo ilivyo hata kwako, na inategemea ulipelekeshwa kwa staili zipi, ambazo zinaweza kuwa zinasababisha hata shingo iume na sehemu nyingine za mwili, pole sana! Maumivu yako unayasikia sehemu gani hasa? mgongoni,kifuani, tumboni chini, eneo la mashine yenyewe etc). Tumia Ibuprofen (Kama huna vidonda vya tumbo). Tramadol ingekuwa nzuri zaidi lakini pata ushauri wa kitaalamu kabla hujaitumia. Hilo zoezi inabidi uendelee nalo ila taratibu.....ukishapona....ili mwili ulainike na uzoeee, muscles inaelekea zilikuwa ngumu au umetikisa mishipa ya fahamu... Maumivu yakizidi muone daktari...ila nategemea ndani ya siku tatu yawe yamepungua sana kama ni mshtuko wa kawaida.
 
Sounds like you are out if shape. Jaribu kufanya mazoezi mara kwa mara. Ulipima ukimwi Ina maana condom hukutumia?

Habari za leo wadau wa jukwaa la JF Doctor, mwenzenu nilikua na muda mrefu sana sijafanya ngono kama miaka sita hivi, sasa nimepiga show ya kufa mtu na dada fulani hapa majuzi. tangu baada ya mechi hiyo nimekua najisikia vitu ambavyo sivielewi kabisa mwilini mwangu. Najisikia kama vitu vinachoma choma mwilini mwangu alafu mifupa ya shingo inauma sana pia nasikia miguu inawaka moto, nilivojisikia hivyo nilikwenda kupima Ukimwi na nimekutwa sina, ntarudi baada ya miezi mitatu. kuna mwenye idea hili tatizo litakua linasabibishwa na nini.. naomba msaada tafadhali yani nasikia vitu vinachomachoma mwilini.. inawezekana imechangiwa na hii ngono????? msaada wadau
 
unafahamu kuzimua?nakushauri piga gemu lingine,kama mara tatu mfululizo utakua poa
 
Back
Top Bottom