Re: My husband

Re: My husband

Salaam!..
Nilicheat na mdada mzuri na mwenye uelewa kwa vigezo vyangu anyway_na hii ilikua wiki iliyopita,...sasa juzi kanipigia cm nimpitie ofisini kwake(ana duka la vipodozi).tukaenda sehemu kupata 1 moto 1 baridi ingawa yeye hatumii kileo,..akanipa simu yake eti nimshikie mpaka tutakapoagana.

Sasa ndipo nikaanza kuipekechua kuangalia kilichomo ingawa kwa uangalifu mkubwa asije akajua nafanya nini?...haa!..nikajagundua amenisevu eti "my husband",.....mmmmh!..sijamuuliza ingawa nimeshangaa kidogo kwani,anajua fika nina mpnz wangu ninayempenda ingawa nimemcheat.

My take:Je_hii ndio stail mpya badala ya ile ya baby,sweet,honey etc......au kuna maana ingine nyuma ya pazia?

Nb:msiniulize kwanini sijamuuliza
jibu lahisi:alitaka uone kakusave jina gani iliuhisi anakuvalue zaidi,hamna lolote,wizi mtupu!jaribu sikumoja uombe ghafla kama hato kunyima?

gold digger,.....mmmmmmh!...umenikumbusha ule wimbo wa kanye west

mkuu sory katika hizo mbili ulizotest ni ipi bora? Hebu nipe jibu wth u're comperative analysis

limbwata dada preta halipom ila niakili yako kuituma tu kama umeshapewa limbwata amini Mungu yote yanawezekana

Mshiki hebu toa maelezo kidogo nini sifa ya bumunda?

wewe Meku, Preta na Nyamayao wote mabumunda mnayapata...lol
yalikuwa maarufu sana haya madude na zile ngubiti..
mabumunda hovyo sana, unakula hata hushibi, upepo mtupu, empty kabisaaaa

kweli?...heeee!...sema siyafahamu ingawa nimewahi yasikia mkuu

hehehe,bht huwajui majambazi wastaarabu eeh? hapo anamuibia tu ili amuone wa maana na anampenda kuliko mpenziwe ambaye keshamchosha i ajabu namba kaisave bila hata jina! na ndo maana kamuachia simu aone. nextime ataandika 'my king'. anakula na kipofu huyo,lol! (ndo maana nakuambia kila siku kamata manati uanze kumuwinda huyo mkaka wako,weeh unajidai mchaga! shauri yako)

heheeeee King'asti nipe hiyo binduki yako aisee niimarishie majeshi kabisa...lol! manati naona ntatumia nguvu nyingi kulenga bana...

wanaume akili zetu ndogo sana hasa linapokuja swala la mapenzi,mtu uniibiwa hapo unaoona kama umependwa,kwa hiyo kupewa simu na kukuta husband ndo unapeeeeendwa!pole weeee!

wewe Meku, Preta na Nyamayao wote mabumunda mnayapata...lol

yalikuwa maarufu sana haya madude na zile ngubiti..

mabumunda hovyo sana, unakula hata hushibi, upepo mtupu, empty kabisaaaa

mshiki hebu nieleze ni mabumunda yapi hayo mnayomaanisha.haya haya ya kule mamndenyi tunatengeneza au ni kitu kingine mai?kiki mshikiee!

wanaume akili zetu ndogo sana hasa linapokuja swala la mapenzi,mtu uniibiwa hapo unaoona kama umependwa,kwa hiyo kupewa simu na kukuta husband ndo unapeeeeendwa!pole weeee!

kuna mambo ambayo mtu ukiyaona yanakuongezea imani na si kwamba ndo kupendwa kwani vingine ni vya muda

wanaume akili zetu ndogo sana hasa linapokuja swala la mapenzi,mtu uniibiwa hapo unaoona kama umependwa,kwa hiyo kupewa simu na kukuta husband ndo unapeeeeendwa!pole weeee!

aiseeee!

Watu wapo strategic bwana,
wana inject kitu taratiiibu
kikigonga mwisho kwishney

ila mkuu inaonekana ulifurah kimoyo moyo.duuh.!nadhani huyo chick yuko poa?kakutell yupo single?fanya makeke daah bahati..

Salaam!..
Nilicheat na mdada mzuri na mwenye uelewa kwa vigezo vyangu anyway_na hii ilikua wiki iliyopita,...sasa juzi kanipigia cm nimpitie ofisini kwake(ana duka la vipodozi).tukaenda sehemu kupata 1 moto 1 baridi ingawa yeye hatumii kileo,..akanipa simu yake eti nimshikie mpaka tutakapoagana.

Sasa ndipo nikaanza kuipekechua kuangalia kilichomo ingawa kwa uangalifu mkubwa asije akajua nafanya nini?...haa!..nikajagundua amenisevu eti "my husband",.....mmmmh!..sijamuuliza ingawa nimeshangaa kidogo kwani,anajua fika nina mpnz wangu ninayempenda ingawa nimemcheat.

My take:Je_hii ndio stail mpya badala ya ile ya baby,sweet,honey etc......au kuna maana ingine nyuma ya pazia?

Nb:msiniulize kwanini sijamuuliza

Kwa nini uliamua kupekenyua simu yake? ulitaka kumtafuta kosa ili umuache?

Back
Top Bottom