RE: Nairobi blasts may slow EAC integration

RE: Nairobi blasts may slow EAC integration

Hapana mzalendo jaribu kutuelewa kuwa hatutaki kuintergrate kwasababu hatujajiandaa vya kutosha na sio kwasababu tuko self sufficient. Kabla hatujaingia tunataka tujue kama nia yenu wakenya ni mbaya au nzuri, maana tunajua kuwa pamoja na kuwa kulikuwa na sababu nyingi zilizopelekea kuvunjika EAC mwaka 1977 lakini ni kenya iliyokuwa ya kwanza kuvunja jumuiya sasa kwanini sasa hivi mko mstari wa mbele kutaka intergration? Kenya wanafahamika kwa kuwaabudu wazungu kwa miaka mingi kuliko Tanzania sasa kwanini sasa mmegeuka ghafla na kujifanya mnajali zaidi maendeleo ya Africa Mashariki? Sasa wakati tunaendelea kutafuta ukweli nyie wenye haraka endeleeni tutakutana baadae na kama tukikuta milango imefungwa tutaendelea na SADC yetu ambako hatuna wasiwasi na mwanachama yeyote. Kama intergration inalipa kwanini kila mwanachama atulalamikie sie wakati kuna nchi zingine zimefungua mipaka? Wanaoona TZ kuna vikwazo vingi kwanini wasifanye biashara ktk nchi zilizofungua mipaka mpaka pale TZ itakapofungua i.e kama Rwanda na Kenya zimefungua mipaka kwanini watu wasifanye biashara kati ya nchi hizo huku wakisubiri nchi zingine nazo zifungue.
Kila nchi inajua itafaidika vipi na intergration, sie watanzania tunafaidika na jumuiya yenye ushindani lakini sio kuungana kijumla jumla tu. Tunajua tumekosea wapi mpaka tukawapa upenyo wakenya sasa tunataka turekebishe kwanza halafu ndo tuendelee na siasa za kufurahisha umati.

We Kibona it seems you hate your life. Unaongea juu ya SADC. Just rethink because you will be burnt while walking on the streets of SA. Zimbabwe felt the full wrath of the SA population.
 
Sasa mie nashangazwa na mamluki wengine hapa!hata mwingine wanasema eti kenya ndio ya kulaumiwa kwa kuvunjika kwa EAC mwaka wa 1977!mnafa muelewe kuwa ni nyinyi watanzani mliokua msitari wa mbele mkifuatiwa na uganda.
 
Watanzania tulikuwa na tofauti za msingi na Uganda, lakini ni wakenya mlioamua kuvunja jumuiya mwaka 1977 kwasababu mlikuwa mnaona kuwa sie na waganda ni mizigo na mlikuwa mnajiona nyie mna uchumi mzuri mkaona bora mvunje jumuiya. Mlianza kwa kuvunja makubaliano ambayo yalionyesha kuwa kiwanda cha general tyre ambacho kilikuwa Arusha kwa ajili East Africa kisiwe na competitor kama ambavyo kulikuwa kuna viwanda vya EAC kenya havikutakiwa kujengwa Tanzania na uganda na vilivyokuwa uganda havikutakiwa kujengwa kenya na TZ. Nyie mkavunja makubaliano mkaamua kujenga kiwanda cha matairi na hivyo kuchangia kuangusha jumuiya. Lakini ujanja mwingi mbele giza, baada ya kuvunja EAC mmegundua kuwa kumbe nyie ndo mna upungufu wa rasilimali kuliko sie ndo maana mnataka tena jumuiya. Sasa tusubirini na sie tujipange ili tukiingia tushindane bila makunyanzi. Na nyie muwe wavumilivu sasa maana utukutu mlianzisha wenyewe.
 
We Kibona it seems you hate your life. Unaongea juu ya SADC. Just rethink because you will be burnt while walking on the streets of SA. Zimbabwe felt the full wrath of the SA population.
I don't think this should be an Issue my friend Mzalendo. xenophobia is every where, even here in Tanzania there are some Tanzanians who hate innocent foreigners from other East African countries struggling for their daily bread and it is also the case in Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi.
And actually we Tanzanians are not resisting fast track intergration due to such xenophobic elements in EA countries, our problem is the fact that we don't trust kenya because the causes for the collapse of the former EAC have not been well adressed. Our lack of trust is highly supported by the approach of the Kenyans which emphasizes much on free property ownership and free movement of people in EAC.
 
=>"xenophobia is every where, even here in Tanzania there are some Tanzanians who hate innocent foreigners from other East African countries struggling for their daily bread and it is also the case in Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi."

I need you to give me case in-point of xenophobic attacks across in Kenya especially vile umetaja Kenya hapo juu. In kenya, especially we have mpaka people from Liberia, DR Congo, Nigeria na hata Tanzania especially kuja utembe mahali panapoitwa Gikomba market Nairobi utapata waTZ. Wewe give me even a big concentration of Kenyans in the major cities IN TZ. Natumai unaelewa kwamba hii si personal attack.
 
Back
Top Bottom