Re: Naombeni ushauri nataka kubadili jina kutoka MKWEPA KODI kuwa MFICHA SUKARI

Habari wakuu
Naombeni ushauri maana nataka kubadili jina, badala ya kuitwa MKWEPA KODI nitumie jina la MFICHA SUKARI, sababu kuu ya kuamua kubadili jina ni kutokana na mgogoro wa kifamilia ambao umesababishwa na wao kuendelea kutumia sukari bila kubana matumizi huku wakijua kuna uhaba mkubwa wa sukari hali iliyopelekea mimi kuanza kuficha sukari na kuitoa kwa mgao, kitendo cha mimi kuficha sukari na kuitoa kwa mgao kimewaudhi sana wanafamilia yangu na kuanza kuniita MFICHA SUKARI. Kwa hiyo nimeamua ku adopt jina hili, naombeni ushauri uangalie pia mambo yafuatayo:

1. Taratibu za jamii forum zina ruhusu

2. Lipi ni jina zuri kati ya hayo majina mawili

3. Siwezi kugombana na wana JF wenzangu n.k.

Asanteni, naombeni ushauri wenu na nipo tayari kukosolewa pia
Mkuu tumia neno fisad mkubwa ndo linakufaa[emoji2]
 
Naona TRA wamekubana huko ndo unataka ukimbilie huku.

Nako huku hakuna unafuu aisee. Utatumbuliwa tu!
 
Back
Top Bottom