Jopo la wachumi wa kushughulikia nini? Chini ya taasisi ipi - World Bank, IMF, UNIDO, .............. ? Mara nyingi uteuzi kama huo huwa unatangazwa kwenye machapisho ya kimataifa, kwenye majarida na mitandaoni. Ya Lipumba imetangazwa wapi na lini? Vinginevyo mnataka kuifanya JF kijiwe cha wakosa kazi kama vile vya mitaani.Prof. Lipumba ameteuliwa kuwa M/kiti katika Jopo la Wachumi Duniani halafu atakuwa analipwa Paund Laki 3 per Week pamoja na hiyo atapewa ulinzi ,usafirna makazi .... Hazina tunazozipiga mateke bongo ndo hizi Dunia inazililia na kuzitumia ipasavyo ...
Jopo la wachumi wa kushughulikia nini? Chini ya taasisi ipi - World Bank, IMF, UNIDO, .............. ? Mara nyingi uteuzi kama huo huwa unatangazwa kwenye machapisho ya kimataifa, kwenye majarida na mitandaoni. Ya Lipumba imetangazwa wapi na lini? Vinginevyo mnataka kuifanya JF kijiwe cha wakosa kazi kama vile vya mitaani.