Re: Prof. Lipumba

Re: Prof. Lipumba

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
558
Reaction score
324
aisee huyu jamaa amepata shavu gani?? Maana nackiackia tu cjui kateuliwa kny jopo la wachumi dunia, anakula kama mil. 750 kwa siku.... Imekaaje hii???
 
hakuna mwenye info. Kuhusu hili suala wajameni??
 
Prof. Lipumba ameteuliwa kuwa M/kiti katika Jopo la Wachumi Duniani halafu atakuwa analipwa Paund Laki 3 per Week pamoja na hiyo atapewa ulinzi ,usafir
na makazi .... Hazina tunazozipiga mateke bongo ndo hizi Dunia inazililia na kuzitumia ipasavyo ...
 
Jopo la wachumi wa kushughulikia nini? Chini ya taasisi ipi - World Bank, IMF, UNIDO, .............. ? Mara nyingi uteuzi kama huo huwa unatangazwa kwenye machapisho ya kimataifa, kwenye majarida na mitandaoni. Ya Lipumba imetangazwa wapi na lini? Vinginevyo mnataka kuifanya JF kijiwe cha wakosa kazi kama vile vya mitaani.
 
Mkuu fanyia utafiti hizi info. Zilianza kuckika toka wiki jana
 
Back
Top Bottom