Re: THANKS TO JF

KIla siku tukisema sekretarieti iko fair ila watu ndio wazembe mnatubishia, sisi wengine tulibahatika kupata zamani wakti sekretarieti inaanzishwa. Usisahu kutoa shukrani ya pekee kwa Mungu wako... If you trust in GOD
 
Ni kweli mkuu Gerrard, mie mwenyewe nlifanya kujaribu tuu. Kwanza kitendo cha kuitwa kwa intavyuu nliona kama muujiza. Lakini after the interview I knew this time it gonna be a fair play. Thanks to God almighty
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuuuuuu! Na mimi usaili wa kazi niloifumania humu JF utafanyika tarehe 13/06/2012 pande za Ifakara. Niombeeni jamani niipate hiyo kazi.
 
Hongera na endelea na moyo huohuo wa kushukuru kwani wengi huwa wanaona tabu kusema asante.
Uliomba kazi na sasa umepata kazi, basi nenda kafanye ipasavyo. Kumbuka mjenga nchi ni mwanachi namvunja nchi ni mwananchi.
 
Hongera...ni mganga gani uliemtumia ebu tupeane maujuzi bana
 
ila nahisi kama wewe ni mfanyakazi wa Secretariat ya ajira unataka kutuzuga tu apa ili msionekane kama mnachakachua maana hisia zangu zinaniambia ivyo
mmmmh wizi mtupu
 
Hongera...ni mganga gani uliemtumia ebu tupeane maujuzi bana
mkuu sio kila kitu kinausisha waganga, acha iman potofu.

omba mungu iko siku na sie tutaajiriwa.
hakuna lisilowezekana mbele ya Mungu hata kama wanachakachua iko siku watashindwa na tutapata ajira.
 
Dah, na mimi natamani siku moja nishukuru kama wewe, kila la kheri ila zingatia maadili ya utumishi wa uma.
 
ila nahisi kama wewe ni mfanyakazi wa Secretariat ya ajira unataka kutuzuga tu apa ili msionekane kama mnachakachua maana hisia zangu zinaniambia ivyo
mmmmh wizi mtupu

Endelea kuamini hivyo, utafia kijiweni, lol. Wenzio ndo tushatoka ivoo
 
Hongera sana!!! Tunafarijika kuona vitu vya aina hii...
 
Hongera zako! Nafasi gani mlikuwa mnagombania?
 
Hongera zako! Nafasi gani mlikuwa mnagombania?

Asante Mkuu, ila nikusahihishe hatukuwa tukigombania. By the way nikisema nafasi hapa si ina maana ntakuwa nimedisclose identity yangu? Lol, anyways Nashukuru kwa pongezi
 
Dah hongera Boy...mi mwenyewe nilipata shavu kupitia humuhumu ndani...So JF is more than what other people think
 
Asante Mkuu, ila nikusahihishe hatukuwa tukigombania. By the way nikisema nafasi hapa si ina maana ntakuwa nimedisclose identity yangu? Lol, anyways Nashukuru kwa pongezi

Kweli Kiswahili kigumu. Kama mko watu 7 kwa nafasi moja si kugombabia huko? Au unafikiri kwa ugomvi, hahahaaaaa, jamani...
 
Changia basi mshiko kidogo,utapewa na upremium member.
 
kama una nia kusaidia kitu kama barua nzuri uliotuma unaiweka hapa CV muhim futa majina na privacy zako..then upload hapa jf..nwy congr:clap2:sana sana
 
Dah hongera Boy...mi mwenyewe nilipata shavu kupitia humuhumu ndani...So JF is more than what other people think

Mh..! hapo kweny blue hapo...umejuaje? lol. Haya bana asante, ila mbona ulikaa kimya? wape moyo na wengine, kuna walioanza kuponda kuwa kazi zinazotangazwa humu sio Real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…