Elections 2010 Re: Waliotafunwa pesa za DECI jipangeni sasa

Elections 2010 Re: Waliotafunwa pesa za DECI jipangeni sasa

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
836
Reaction score
50
Nataka kuwakumbusha wale ndugu zangu tuliodhulumiwa pesa za DECI wakati ni huu.
Msipotumia nafasi hii basi hatutapata tena muda mwingine. Maana pesa zetu ZILICHAKACHULIWA sasa tutumie rungu hili tarehe 31.


Mgombea mmoja tu kazungumzia na kuahidi kulitatua tatizo hili katika muda wa siku 100 akiingia madarakani.Jamani huyo si mwingine ni Dr. wa ukweli Dr.SLAA. Tumpatie kura zote. Hizo pesa zetu ndio zinatumiwa na MAFISADI sasa kuturarua rarua sasa tusikubali tena. Jamani wana DECI mpooooo, amkeni sasa. Jitokezeni kwa wingi tarehe 31 kama mlivyokuwa mkienda kuvuna miti yenu sasa ni kumwaga kura kwa Dr. wa ukweli kama utitiri. :israel: KURA ZOTE ZA WANA DECI KWA CHADEMA JAMANI MSILALE MPAKA KIELEWEKE.
 
Back
Top Bottom