Elections 2010 Re: Yanayowafanya watanzania kutaka mabaliko ya haraka.

Elections 2010 Re: Yanayowafanya watanzania kutaka mabaliko ya haraka.

Mtaka Haki

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
492
Reaction score
149
People who keep on doing things the same way, they will always get the same results they have always Got.

Kama tunaridhika na hali iliyoko, basi ukweli hatuhitaji mabadiliko mengine mazuri zaidi.
Kama tunahitaji mabadiliko mengine na bora zaidi basi lazima tufanye tofauti ili kuleta mabadiliko tofauti.

Huwezi kupata mabadiliko kama unafanya vilevile unavyofanya siku zote.

Kanuni inakataa. Fanya tofauti basi utapata matokeo tofauti. Fanya vilevile utapata matokeo yaleyale.

Unaweza kueleza hapa ni mambo gani yasiyokuridhisha na unayodhani yanahitaji kubadilishwa?
Karibuni. Kwa nini unadhani tunahitaji mabadiliko? Je Kikwete hawezi kuyaleta? Na je Kama hawezi kwa nini unaamini Slaa anaweza?
 
Back
Top Bottom