@TANESCOSubiri TANESCO waje kuomba majina kamili, namba ya simu na location.
Tafadhali onesha namba ya simu kwa wepesi wa kufatilia na kupata taarifa kamiliTangu mwaka 2016 Rea ili Saini mkataba no:AE/008/2016-17/HQ/G/11 -Lot 6 na Mkandarasi State Grid ya DSM. Mshangao Mkandarasi huyo alileta nguzo mwaka 2016 ambazo mpaka leo haziko sehemu ya Mradi na masalia zimeteketezwa na moto.
Hii imekaaje May 2021 imekuja SUMA JKT tunaona wanaanza na kupandisha nguzo.
Tuna wasiwasi kazi hiyo lpo kama awali au SUMA JKT wana mradi mwingine mbali na State Grid?
Tunaomba ufafanuzi tunateseka sana.
@mandendeuleTafadhali onesha namba ya simu kwa wepesi wa kufatilia na kupata taarifa kamili
Hahahahaa! Jamaa ni wepesi wa kuomba majina na namba ya simu ni kama robot.Subiri TANESCO waje kuomba majina kamili, namba ya simu na location.
Ukionesha taarifa kamili haumbwi bali unahudumiwa, taarifa kamili ndio msingi wa huduma boraHahahahaa! Jamaa ni wepesi wa kuomba majina na namba ya simu ni kama robot.
Mnajibu kama robot, mhusika amekutajia eneo na amekuwekea namba ya mkataba bado unaomba namba ya simu ya nini?Tafadhali onesha namba ya simu kwa wepesi wa kufatilia na kupata taarifa kamili
Kwa dunia ya sasa zipo taarifa ambazo ndio msingi wa huduma, shukuru na furahia sisi tupo kuwasikiliza na kufatilia taarifa zenu, wanaotoa ushirikiano tunafika nawo pazuei hata kupitia DM¡ siku hizi taarifa isiyo na mawasiliano haijakamilikaMnajibu kama robot, mhusika amekutajia eneo na amekuwekea namba ya mkataba bado unaomba namba ya simu ya nini?
AsanteTumepokea na kukujibu tafadhali
Mradi unaendelea sasa.. Nguzo zimefika hadi mfuruni au sioREA mbn hamjibu