Reaction scores zako zinapata daraja gani, hebu jaribu hapa

Reaction scores zako zinapata daraja gani, hebu jaribu hapa

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
8,252
Reaction score
18,335
Hebu tujaribu kukokotoa uwiano uliopo kati ya meseji tunazoandika humu jf na reaction point tunazopata katika meseji hizo. Yaani kama hivi (Reaction points รท Message). Halafu matokeo yatapangwa katika gredi zifuatazo.
0-0.4: (F) or Division 0๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข
0.5-0.9: (D) or Division IV๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก
1.0-1.4: (C) or Division III๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
1.5-1.9: (B) or Division II๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2.0 na kuendelea: (A) or I๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
Kwangu mimi, kwa leo...
3093รท2127=1.454 Division III

Tuchangie michango ya maana ili tupate division I au II
Just for fun usiichukulie serious
 
Stephen Chelu,
Umeandika kuhusu reaction scores nimejikuta naangalia leo



troublemaker God is watching you!!!!


Screenshot_20200210-214018.png
 
Back
Top Bottom