Reaction ya Mzee wangu baada ya kusikia naishi na single mother.

Hayo maneno ya mzee wako ni warning code. Usiyachukue kama yalivyo bila kuifungua iyo code. Nakushauri tafuta siku na muda ujadiliane nae kwa marefu na mapana
 
Unaoa single mother maana yake unamkataa mke ambaye MUNGU amekuandalia na hamjakutana nae bado.

Unaacha kujichagulia mke kwenye stock kubwa ya wanawake ambao hajaguswa unakwenda kuzoa majanamke ya hovyo.
Single maza siyo wanawake wa ovyo, wanaume wameoa "brand new" lkn mwisho wa siku ni ndoa za mateso, mi napenda experienced single maza, ni wanawake wema sana.
 
Single maza siyo wanawake wa ovyo, wanaume wameoa "brand new" lkn mwisho wa siku ni ndoa za mateso, mi napenda experienced single maza, ni wanawake wema sana.
Husibet kwenye maisha, hasa maisha ya ndoa.
 
Single maza siyo wanawake wa ovyo, wanaume wameoa "brand new" lkn mwisho wa siku ni ndoa za mateso, mi napenda experienced single maza, ni wanawake wema sana.
Wana-pretend tu kwa sababu wanajua thamani yao sokpni imeshuka, kwaiyp uwife material ndio karata pekee waliyobakiwa nayo.

Character ya mtu inajidhihirisha akiwa katika purity yake, sio akiwa katika wakati ambao anahitaji retirement plan.

Mustakabali wa mahusiano/ndoa ni fumbo, lakini iyo sio sababu ya kufanya gamble kwa mwanamke mwenye red flag wakati wasiokua na red flag wapo
 
Kutozaa ni purity, au unamaanishaje?, unaweza pata mwanamke hajawahi zaa lakini zishatoka mimba kadhaa..
 
Kutozaa ni purity, au unamaanishaje?, unaweza pata mwanamke hajawahi zaa lakini zishatoka mimba kadhaa..
Uyo mwenye mtoto yeye kabla na baada ya kuzaa hajawahi kutoa mimba?

Purity namaanisha mwanamke ambae bado bikira na hajapitia chaos za kwenye mahusiano. Huyu kiroho, kimwili na kiakili anakua bado pure, uzoefu wa kila kitu anakuja kuupata kwa mara ya kwanza kutoka kwako. Hiyo purity ni rahisi zaidi kuipata kwa mwanamke wa 18-22. Hii ni tofauti na mwanamke ambae ashatumika, huyu anakuja na spiritual complexity, comparisons, emotional baggages na traumas kutoka mahusiano yake ya nyuma. Vile vile anakua tayari na itikadi yake ya kimaisha ambayo mara nyingi inakua haiendani na yako, kwaiyo ni ngumu kumrekebisha.
 
Single mama ni saratani yenye mfano wa samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…