Reaction ya Mzee wangu baada ya kusikia naishi na single mother.

Reaction ya Mzee wangu baada ya kusikia naishi na single mother.

Uyo mwenye mtoto yeye kabla na baada ya kuzaa hajawahi kutoa mimba?

Purity namaanisha mwanamke ambae bado bikira na hajapitia chaos za kwenye mahusiano. Huyu kiroho, kimwili na kiakili anakua bado pure, uzoefu wa kila kitu anakuja kuupata kwa mara ya kwanza kutoka kwako. Hiyo purity ni rahisi zaidi kuipata kwa mwanamke wa 18-22. Hii ni tofauti na mwanamke ambae ashatumika, huyu anakuja na spiritual complexity, comparisons, emotional baggages na traumas kutoka mahusiano yake ya nyuma. Vile vile anakua tayari na itikadi yake ya kimaisha ambayo mara nyingi inakua haiendani na yako, kwaiyo ni ngumu kumrekebisha.
Hypothesis (nadharìa) yako ni, the purity/bikira, means the unbreakable marriage :CaptFailFish:
 
Nakuambia single maza hawana shida, nilitengeneza watatu na wote wameolewa na vijana kama wewe. Mwingine kabadilishwa mpaka dini.
Unajiskia fahari kabisa kusema umetengeneza single mother watatu, pumbavu kabisa ww
 
Why, kwani aliwabaka? Hata yeye amekuwa ni single faza wa watoto watatu :nymnCorn:
Hakuna mwanaume single faza. Nina wake wawili na bado naweza ongeza wawili nikampita hadi mhispania wa utopolo.
 
Back
Top Bottom