Hypothesis (nadharìa) yako ni, the purity/bikira, means the unbreakable marriageUyo mwenye mtoto yeye kabla na baada ya kuzaa hajawahi kutoa mimba?
Purity namaanisha mwanamke ambae bado bikira na hajapitia chaos za kwenye mahusiano. Huyu kiroho, kimwili na kiakili anakua bado pure, uzoefu wa kila kitu anakuja kuupata kwa mara ya kwanza kutoka kwako. Hiyo purity ni rahisi zaidi kuipata kwa mwanamke wa 18-22. Hii ni tofauti na mwanamke ambae ashatumika, huyu anakuja na spiritual complexity, comparisons, emotional baggages na traumas kutoka mahusiano yake ya nyuma. Vile vile anakua tayari na itikadi yake ya kimaisha ambayo mara nyingi inakua haiendani na yako, kwaiyo ni ngumu kumrekebisha.
Means high probabilitySo the purity/bikira, means the unbreakable marriage
Huu ndo ukweli.😅 ndo imefikia huku
Unajiskia fahari kabisa kusema umetengeneza single mother watatu, pumbavu kabisa wwNakuambia single maza hawana shida, nilitengeneza watatu na wote wameolewa na vijana kama wewe. Mwingine kabadilishwa mpaka dini.
Why, kwani aliwabaka? Hata yeye amekuwa ni single faza wa watoto watatuUnajiskia fahari kabisa kusema umetengeneza single mother watatu, pumbavu kabisa ww
Uongo ni upiHuu ndo ukweli.
Uongo ni kujipa imani kuwa kuwa na single mother kwenye umri wa kupambana n sahihiUongo ni upi
Hakuna mwanaume single faza. Nina wake wawili na bado naweza ongeza wawili nikampita hadi mhispania wa utopolo.Why, kwani aliwabaka? Hata yeye amekuwa ni single faza wa watoto watatu
Unyanyapaa/stigmaKwa kijana anayeanza maisha, nashauri aepukane na single mother
..ni mental satisfaction/placebo/kipozauongoMeans high probability
nakaziaOhoooo ,ndugu usijaribu yalinikuta mazito sanaaaaa narudia tena sanaaaaaaaa.
Ashante shana
Single mothers are the best 💓 ladiesHuu uzi vinachangia vijeba tu. Hao Mamaza Singo wanauruka kama wanaruka kinyesi
Ni uvivu tu wakuanzisha familia yakeNa akili timamu..unaanzaje kuoa singo mom??
you will learn someday, kwa saahv unaweza kuona watu wanapiga kelele japo wanaelezea kwa experience we shupaza shingoKuoa unvalidated lady, ni betting zaidi
Sawa mkuuSingle mothers are the best 💓 ladies