Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuolewa lazima?Usiombe hio kitu inawaumiza sana sana Wazazi, kila siku unaalikwa kwenye harusi za wenzio! Dah
Kuolewa ni heshima kwa wazazi na jamii kwa ujumla.kuolewa lazima?
Au TUNAUZA KUKU
Sijui kwa kwelikuolewa lazima?
Wewe unaona kufika 30s bila kuolewa ni sawa?maisha yanaanza at 40
ndio kuna shida gani?Wewe unaona kufika 30s bila kuolewa ni sawa?
Wewe umeolewa?ndio kuna shida gani?
mpaka nifike 35Wewe umeolewa?
Nani ataoa mzee wakati kuna warembo wabichi kabisa.mpaka nifike 35