Reaction ya wazazi binti yao akifikisha miaka 30 na hajaolewa

Usiombe hio kitu inawaumiza sana sana Wazazi, kila siku unaalikwa kwenye harusi za wenzio! Dah
 
Eti tunauza maji...
Sema usitembelewe na mwanaume watauliza harusi lini?
 
wanawake wa sasa hawawezi kula ugali kwa kachumbari wanataka chipsi kuku unafikiri nani atawaoa kama wanapenda vikubwa pekee
 
Thirty,thiry,thirty.................what's wrong with 30.........30 is the new 20........
 
Siku hizi wanawake wamejiandaa kisaikolojia. Ndoa ni za kulenga kwa manati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…