Ukibeba mtoto wako watu wanajua ni mjukuu wako.maisha yanaanza at 40
Acha kujifarijimpaka nifike 35
Ndio kwani VIP?Wewe unaona kufika 30s bila kuolewa ni sawa?
So what?Ukibeba mtoto wako watu wanajua ni mjukuu wako.
Kwanini unasema hivo na umejuaje?Siku hizi wanawake wamejiandaa kisaikolojia. Ndoa ni za kulenga kwa manati.
Haya mawazo yanasababisha unyanyapaa kwa wasioolewa na kufanya ndoa zilazimishwe.Kuolewa ni heshima kwa wazazi na jamii kwa ujumla.
Hivi Yule Mh. Mbunge wa Arusha akifanikiwa kumuoa Mdee..!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]