babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 Apr 19, 2010 #1 kapicha kamenivutia jinsi mama anavyowajibika,sio kushinda bar tu kuomba ofa za bia na vitimoto.
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 4,998 Apr 19, 2010 #2 Babu, inategemea na mazingira. Huwezi kaa Dar ukatwanga mchana kutwa, jasho litakutoka. Labda uwe na kipupwe pembeni
Babu, inategemea na mazingira. Huwezi kaa Dar ukatwanga mchana kutwa, jasho litakutoka. Labda uwe na kipupwe pembeni