Real Bamako Kuna wachezaji wazuri kuliko Tulionao Simba, Uongozi ulifanyie kazi

Natoa wito Kwa uongozi wa klabu yangu ya Simba kupitia scouting ya timu uwamulike hawa wachezaji wa As Real Bamako. Humu tunapata wachezaji wengi wazuri kwa bei nafuu sana

Nimeona wachezaji wenye uwezo zaidi ya hawa kina baleke, kyombo, sakho, boko, Banda Saido na mauchafu mengine mengi tuliyoyajaza klabuni kwetu.

Ushauri wangu uzingatiwe

Simba nguvu moja
Subiri uje uitwe Utoporo na wenye hasira kali.
Ila ukweli umeuongea.
 
😅😅😅 Ila Mzamiru yupo humu, akiona hatojisikia fresh.

Sema huwa nakereka mtu akitoa pasi, badala ya kufungua ili apewe tena, anajifichaa 😅😅
Anatumia jina gan humu huyo mzamiru?
 
Wazee wa shirikishoooooo!!
mmekutana na timu za level zenu basi mnabwabwajaa... mgekuwa na timu nzuri si bado mgebaki club bingwa???
 
Anatumia jina gan humu huyo mzamiru?
Nenda kaangalie ule Uzi ambao kuna jamaa aliweka list ya wachezaji ambao Simba wanatakiwa kuwatimua, Mzamiru nae aliwekwa.

Kuna ID sio kongwe, ilitoa sana povu. Ndio yeye 😅😅😅. Wadau walikuwa hawajui wanabishana na nani 😅😅😅
 
Ni tag huo uzi
 
Hata sikumbuki aliupost nani, ila tembelea jukwaa la sport, check nyuzi zinazohusu Simba. Au akicomment hata humu, nitakutag 😅😅😅
Mi ntamfata inbox nimchanee😁😁 wanaroga vijana wakipewa nafasi hovyoo
 
Muhuni yule, sasa hivi kafunga pm. Kuna ile derby ya moja moja, alimchezea rafu mchezaji wetu tukapata faulo aliyofunga Aziz Ki. Baada ya mechi nilimfata inbox kumshukuru, anatukana kinoma kama sio mtu mzima vile 😅😅😅.
 
Una jicho kali la kimpira Mzee. hii timu kuna vipaji halisi na miili ya mpira wanayo, sio hawa wachezaji wetu kama mbilikimo
 
Natoa wito Kwa uongozi wa klabu yangu ya Simba kupitia scouting ya timu uwamulike hawa wachezaji wa As Real Bamako. Humu tunapata wachezaji wengi wazuri kwa bei nafuu sana

Nimeona wachezaji wenye uwezo zaidi ya hawa kina baleke, kyombo, sakho, boko, Banda Saido na mauchafu mengine mengi tuliyoyajaza klabuni kwetu.

Ushauri wangu uzingatiwe

Simba nguvu moja
Mkishibaga maboga mnasumbua😀😀 yaani timu inacheza shirikisho wachezaji wake wakasajiliwe Na timu inayocheza Cl kweli, bora ungesema hivi simba isajili baadhi ya wachezaji toka vipers maana waliitoa tp mazembe CL na pia mwananchi day waliifunga timu flani...
 
Natoa wito Kwa uongozi wa klabu yangu ya Simba kupitia scouting ya timu uwamulike hawa wachezaji wa As Real Bamako. Humu tunapata wachezaji wengi wazuri kwa bei nafuu sana

Nimeona wachezaji wenye uwezo zaidi ya hawa kina baleke, kyombo, sakho, boko, Banda Saido na mauchafu mengine mengi tuliyoyajaza klabuni kwetu.

Ushauri wangu uzingatiwe

Simba nguvu moja
Acha ujinga
 
Yanga huwa mnatumia nguvu muonekane bora sijui shida yenu huwa nini kwenye vichwa vyenu.
 
Back
Top Bottom