Real Bamako Kuna wachezaji wazuri kuliko Tulionao Simba, Uongozi ulifanyie kazi

Subiri uje uitwe Utoporo na wenye hasira kali.
Ila ukweli umeuongea.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Ila Mzamiru yupo humu, akiona hatojisikia fresh.

Sema huwa nakereka mtu akitoa pasi, badala ya kufungua ili apewe tena, anajifichaa πŸ˜…πŸ˜…
Anatumia jina gan humu huyo mzamiru?
 
Wazee wa shirikishoooooo!!
mmekutana na timu za level zenu basi mnabwabwajaa... mgekuwa na timu nzuri si bado mgebaki club bingwa???
 
Anatumia jina gan humu huyo mzamiru?
Nenda kaangalie ule Uzi ambao kuna jamaa aliweka list ya wachezaji ambao Simba wanatakiwa kuwatimua, Mzamiru nae aliwekwa.

Kuna ID sio kongwe, ilitoa sana povu. Ndio yeye πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…. Wadau walikuwa hawajui wanabishana na nani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ni tag huo uzi
 
Ni tag huo uzi
Hata sikumbuki aliupost nani, ila tembelea jukwaa la sport, check nyuzi zinazohusu Simba. Au akicomment hata humu, nitakutag πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hata sikumbuki aliupost nani, ila tembelea jukwaa la sport, check nyuzi zinazohusu Simba. Au akicomment hata humu, nitakutag πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mi ntamfata inbox nimchanee😁😁 wanaroga vijana wakipewa nafasi hovyoo
 
Mi ntamfata inbox nimchanee😁😁 wanaroga vijana wakipewa nafasi hovyoo
Muhuni yule, sasa hivi kafunga pm. Kuna ile derby ya moja moja, alimchezea rafu mchezaji wetu tukapata faulo aliyofunga Aziz Ki. Baada ya mechi nilimfata inbox kumshukuru, anatukana kinoma kama sio mtu mzima vile πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….
 
Una jicho kali la kimpira Mzee. hii timu kuna vipaji halisi na miili ya mpira wanayo, sio hawa wachezaji wetu kama mbilikimo
 
Mkishibaga maboga mnasumbuaπŸ˜€πŸ˜€ yaani timu inacheza shirikisho wachezaji wake wakasajiliwe Na timu inayocheza Cl kweli, bora ungesema hivi simba isajili baadhi ya wachezaji toka vipers maana waliitoa tp mazembe CL na pia mwananchi day waliifunga timu flani...
 
Acha ujinga
 
Yanga huwa mnatumia nguvu muonekane bora sijui shida yenu huwa nini kwenye vichwa vyenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…