Real Bamako si wajinga; Yanga wajiangalie

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Ni kweli, real Bamako (isomeke Bamakoooo) wanashika nafasi ya mwisho, ni wachanga kwenye michuano hii(kama yanga tu) ila nimewaangalia facial expressions yao tangu wanatua terminal III hadi wanafanya mazoezi wana jambo lao.

Matokeo tofauti na ushindi yanga yatawaweka rehani.

All the best Young Africans (isomeke Yanga Afrika)

Mimi ni mnyama.
 
Wewe kaa pembeni ya kwako umemaliza jana, habari za kuwaelekeza yanga cha kufanya ungeielekeza timu yako yenye shida kubwa, hatutaki kiherehere kilichompeleka mbwa harusini!
 
Wananchi leo lazima tushinde. Maana hakuna namna nyingine.
 
Wakimshika Mayele kama walivyofanya mwanzo wanatoboa kiulaiiini
 
Wale jamaa wanaosema timu ikifungwa nitatembea uchi hadi Kibaha siku hizi wako wapi?
 
Tuthamini vyetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…