Biashara ya kupanga nyumba na kupangisha nyumba imeendelea kuwa na changamoto kadri siku zinavyoenda.
Nyakisasa Empire Ltd imejaribu kuja na mbinu ambayo itapunguza kero kwa wapangaji na wenye Nyumba.
Tunatoa form ambayo mpangaji atatujazia kuelezea mahitaji yake,pia tunaingia mikataba na wenye nyumba za kupanga kwa ajiri ya kutafutiwa wapangaji. Baada ya kuridhika na nyumba utalipa kamisheni ya 30% kama running cost ya kampuni.
Karibu sana kama kutakuwa na Maswali.
N.B kwa sasa huduma zetu zitapatikana Arusha