Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau,
Mimi bado ni mchanga au mgeni katika biashara ya real estate. Sasa hivi nipo katika sekta ya ajira serikalini, ila ningependa siku moja kuacha kazi za kuajiriwa na kujiairi mwenyewe. Niliamua kuingia kwenye Real Estate baada ya kuona atleast ina future na pia kitu ninachopenda kukifanya.
Nimewahi kutembelea site mbalimbali kujionea shughuli za ujenzi wa majumba hasa appartments, kwa kweli nimehamasika sana. Pamoja na kwamba biashara hii ni nzuri ila pia ina changamoto zake, ikiwa ni pamoja na utapeli katika ununuzi wa viwanja au nyumba.
Ningependa kupata ushauri wenu, hasa kutoka kwa wale uzoefu katika real estate, wa jinsi ya kuanza kufanya biashara hii na pia jinsi ya kufanikiwa. Michango yenu ni muhimu sana, nakaribisha kwa yeyote mwenye "success story" aweze kushare na sisi.
Asante.
Haka kathread kalikuwa wapi Mbona katamu hivi.
Mkuu Myelife na OLESAIDIMU nita watafuta nikishuka huko. Mimi pia kama washiriki wengine nina Ndoto ya kuzama kwenye hii kitu
Kitu kilicho nifurahisha na hakika naamini asilimia Kubwa ya Walio onyesha interest kwenye hii thread wata fanikiwa ni kwamba wengi mnaonekana kuwa na interest(kupenda hii industry).
Ukipenda unachofanya then Changamoto zitakuwa Sio ishu Kwako.Binafsi nimekuwa nafuatilia hii kitu kwa Muda wa miaka miwili sasa. Mimi napenda kumiliki ardhi,huwa najisikia raha kumiliki ardhi hata kama sina mpango nayo wa baadae.
Kuhusu mtaji wala msijali wakuu,unaanza taratibu na Uzuri faida ya real estate huwa ni kubwa. Mimi Mwaka huu nimeanza rasmi kukusanya mtaji, njia niliyotumia ni kupitia kuuza viwanja.
Nimeshirikiana na mwenzangu tumenunua ekari 7 baada ya Kufanya upembuzi yakinifu wa eneo ili kujua sehemu potential na bei ya kununulia na kuuzia katika eneo husika.
Tunatarajia mpaka Mwakani Mwezi wa pili Mchakato wa kupima utakuwa umeisha na nitaanza kuuza. Tayari nina market strategy ambayo inalenga vijana ambao wameanza kazi.
Ekari tumenunua kwa 3M kila moja but tulitoa 20M kwa zote saba,gharama ya kupima eneo itakuwa around 8M(hata ikiongeza haitozidi 10M). Gharama jumla ni 30M including emergence,kila mtu katoa 15M. Tuna tarajia kupata 90M tukiviuza,so utagundua kuwa faida ni mara Tatu ya mtaji.
Ushauri:
Bei ya ekari bado ni nzuri Kidogo kwa Sasa bongo hivyo huu ndio wakati wa kununua ekari kama chizi vile. Lakini hakikisha unatembea ujue market value ya Eneo husika,mimi Mwaka jana kila wikend nilikuwa nashinda kigamboni mpaka shemeji yenu akawa ana kasirika,lkn ni kwasababu nilikuwa najenga network na kuifahamu vizuri kigamboni ili nijue eneo ambalo ni potential zaidi
Pili mnaweza kujiunga watu wawili kama sisi tulivyofanya,so imekuwa rahisi.Binafsi hiyo 15M niliyotoa nilikopa kwenye saccoss yenye masharti nafuu
Kuwa strategic,wakati unakusanya mtaji endelea kufanya utafiti wa lengo lako kuu. Binafsi kinacho niletaga humu JF mara nyingi ni matangazo ya viwanja na mashamba. Na Mara kwa Mara huwa napitia website za matangazo ya real estate ili kujua nini kunaendelea hasa swala la prices
mkuu asante, nimegundua pia nilikosea mara ya kwanza kwa kuweka 10% capita badala ya money,Mkuu Zumbe, kwa faida ya wengi natamani ufafanue zaidi hapo kwenye ratio ya 99:10 panaonekana patamu sana!
mkuu asante, nimegundua pia nilikosea mara ya kwanza kwa kuweka 10% capita badala ya money,
anyway nilichomaanisha ni kwamba ukiwa na mawazo yeyote ya kibiashara hela isikuumize sana kichwa, muhimu kwanza ni ideas kwa asilimia 90, hivyo vingine vitajileta tu, nimetoa mfano hapo juu kwamba ukipata eneo portential si lazima ulinunue kama huna hela, ongea na mwenye eneo kwa kick kubwa, kama anakomaa kuliuza tengeneza idea fasta ya real estate, onana na washauri, then kaa mezani na wawekezaji, yaani utakuwa unafanya kazi ya kutafuta mchoro, business plan na wawekezaji kwa niaba ya mmiliki wa plot, mmiliki anaweza kuamua kuuza eneo lake ama akaingia mkataba na muwekezaji, vyovyote itakavyokuwa hapo tayari umeshakuwa sehemu ya huo mradi, huo ni mfano tu mdogo kwamba hujatumia hela au umetumia kidogo sana, ila zaidi kilichotumika ni ideas

mkuu hapo kwanza ulipaswa make chini na mwekezaji mkubaliane kiasi kwa maandishi, pia ungekaa chini na mmiliki wa ardhi nae muweke terms,Kiongozi hapo ume eleza vizuri.
Hapa tuna mwenye Eneo,Mwekezaji na mimi ambaye ni Facilitator sasa ktk mtazamo wa kisheria Mimi nasimama wapi na nitapataje gawiwo. Kwani naona Mmiliki wa ardhi na Mwekezaji ndio wahusika wakuu
Nami ndo nimeanza kujipenyeza kigamboni kaka ila dah hapo pa shemeji yetu ni kweli coz hata Wife anachukiaga maana Monday to Friday narudi job usiku then Sataurday and Sunday nashinda kigamboni kunyemelea viwanja vya bei nafuu. Hii biashara tuwe wavumilivu kaka inalipa sana nimeifuatilia kwa muda sasa. Tayari nina hekari tatu nimeshaziwekea mazingira mazuri nitaziuza mwisho wa mwaka 2014 Inshallah...Haka kathread kalikuwa wapi Mbona katamu hivi.
Mkuu Myelife na OLESAIDIMU nita watafuta nikishuka huko. Mimi pia kama washiriki wengine nina Ndoto ya kuzama kwenye hii kitu
Kitu kilicho nifurahisha na hakika naamini asilimia Kubwa ya Walio onyesha interest kwenye hii thread wata fanikiwa ni kwamba wengi mnaonekana kuwa na interest(kupenda hii industry).
Ukipenda unachofanya then Changamoto zitakuwa Sio ishu Kwako.Binafsi nimekuwa nafuatilia hii kitu kwa Muda wa miaka miwili sasa. Mimi napenda kumiliki ardhi,huwa najisikia raha kumiliki ardhi hata kama sina mpango nayo wa baadae.
Kuhusu mtaji wala msijali wakuu,unaanza taratibu na Uzuri faida ya real estate huwa ni kubwa. Mimi Mwaka huu nimeanza rasmi kukusanya mtaji, njia niliyotumia ni kupitia kuuza viwanja.
Nimeshirikiana na mwenzangu tumenunua ekari 7 baada ya Kufanya upembuzi yakinifu wa eneo ili kujua sehemu potential na bei ya kununulia na kuuzia katika eneo husika.
Tunatarajia mpaka Mwakani Mwezi wa pili Mchakato wa kupima utakuwa umeisha na nitaanza kuuza. Tayari nina market strategy ambayo inalenga vijana ambao wameanza kazi.
Ekari tumenunua kwa 3M kila moja but tulitoa 20M kwa zote saba,gharama ya kupima eneo itakuwa around 8M(hata ikiongeza haitozidi 10M). Gharama jumla ni 30M including emergence,kila mtu katoa 15M. Tuna tarajia kupata 90M tukiviuza,so utagundua kuwa faida ni mara Tatu ya mtaji.
Ushauri:
Bei ya ekari bado ni nzuri Kidogo kwa Sasa bongo hivyo huu ndio wakati wa kununua ekari kama chizi vile. Lakini hakikisha unatembea ujue market value ya Eneo husika,mimi Mwaka jana kila wikend nilikuwa nashinda kigamboni mpaka shemeji yenu akawa ana kasirika,lkn ni kwasababu nilikuwa najenga network na kuifahamu vizuri kigamboni ili nijue eneo ambalo ni potential zaidi
Pili mnaweza kujiunga watu wawili kama sisi tulivyofanya,so imekuwa rahisi.Binafsi hiyo 15M niliyotoa nilikopa kwenye saccoss yenye masharti nafuu
Kuwa strategic,wakati unakusanya mtaji endelea kufanya utafiti wa lengo lako kuu. Binafsi kinacho niletaga humu JF mara nyingi ni matangazo ya viwanja na mashamba. Na Mara kwa Mara huwa napitia website za matangazo ya real estate ili kujua nini kunaendelea hasa swala la prices
Nami ndo nimeanza kujipenyeza kigamboni kaka ila dah hapo pa shemeji yetu ni kweli coz hata Wife anachukiaga maana Monday to Friday narudi job usiku then Sataurday and Sunday nashinda kigamboni kunyemelea viwanja vya bei nafuu. Hii biashara tuwe wavumilivu kaka inalipa sana nimeifuatilia kwa muda sasa. Tayari nina hekari tatu nimeshaziwekea mazingira mazuri nitaziuza mwisho wa mwaka 2014 Inshallah...
Mabenki ya Kitz mkuu yanalala tu lakini hii ni avenue inayoweza kuwalipa sana bila jasho!!! Ukijenga ghorofa la vumba 100 kabla hata halijaisha utakuwa umepata wapangaji!!!
Tatizo mtaji, watu wanaviwanja lakini mtaji hawana, hapo ndio mabenki yanapoingia mabenki wapeni pesa wenye viwanja/wajengeeni wakianza kulipwa na tenants wao waanze kurudisha pesa ya mkopo 70%
Mathalani una vyumba 100, chumba kimoja ni sh 100000 kwa mwezi, unauwezo wa kulipa mil 84 kwa mwaka na unauwezo wa kurudisha mil 250,ndani ya miaka 3
Sijapimisha. Anayetaka kwa sasa ni 20M kwa hekari. Ni eneo ambalo mradi haujafika lakini siku sio nyingi tunaweza kujikuta tumeingizwa kwenye mradi manake jirani na hapo wameandikishwa kuingizwa mradini kwa habari ya chini ya kapeti wameambiwa anayetaka 20,000TShs@SQM. Bei ya serikali DSM ni 35,000TShs@SQM wamepigwa cha juu 15,000TShs@SQM. Ziko kwenye barabara kubwa yaani full kujidai, pesa yako tu.Hekari moja unauza sh ngapi? Umeshapimisha? Eneo lipo nje ya huo mradi wanaodai ni wa serikali?
Umbali sijui lakini ni jirani na kizuda. Sio kama serikali inafanya biashara bali inatoa bei elekezi kwa maana tungetegemea wawekezaji kama NSSF ambao ndio wanaonunua pale wangeanzia hiyo bei. Not negotiable. Hapo nikikosa mtu by end of the year, basi early 2015 najenga kibanda cha uzushi nasubiri bei kubwa zaidi...may be after a year or two nitaneemeka. 🙂Umbali gani toka feri?? Serikali haifanyi biashara hiyo bei elekezi ni ya kisiasa tu, anyway ni imani yangu hiyo 20mil/acre ni negotiable wacha nipange ratiba vizuri nikutafute
Wadau,
Mimi bado ni mchanga au mgeni katika biashara ya real estate. Sasa hivi nipo katika sekta ya ajira serikalini, ila ningependa siku moja kuacha kazi za kuajiriwa na kujiairi mwenyewe. Niliamua kuingia kwenye Real Estate baada ya kuona atleast ina future na pia kitu ninachopenda kukifanya.
Nimewahi kutembelea site mbalimbali kujionea shughuli za ujenzi wa majumba hasa appartments, kwa kweli nimehamasika sana. Pamoja na kwamba biashara hii ni nzuri ila pia ina changamoto zake, ikiwa ni pamoja na utapeli katika ununuzi wa viwanja au nyumba.
Ningependa kupata ushauri wenu, hasa kutoka kwa wale uzoefu katika real estate, wa jinsi ya kuanza kufanya biashara hii na pia jinsi ya kufanikiwa. Michango yenu ni muhimu sana, nakaribisha kwa yeyote mwenye "success story" aweze kushare na sisi.
Asante.
Nimefanya kazi katika real estate agent and development, kama miezi sita tu, mwaka 2006, nilikuwa Kama officer of maintenance. Nipo busy kidogo, Nitarudi kukupa changamoto, na ushauri.
Ghibuu