Real Estate business?

Real Estate business?

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,955
Reaction score
9,041
Wakuu, vipi kuhusu hii biashara kibongobongo? Prospects zake zikoje? Inalipa au bado haina nguvu sana? Naona watu wengi wanaiongelea ongelea.
 
Mi pia natamani kujua ngoja waje wenye uelewa wanaweza wakaeleza vizuri
 
TANZANIA'S BEST REAL ESTATE EXHIBITION
"Book your space"
 
bado ndo kwanza ina grow ila challenge kubwa ni capital lakin asikwambie mtu eti inahitaji 4 bil coz unaeza kua broker ukawa unalist tu property za watu then ukala commision. Ila ukiwa na capital ya kutosha ukawa unabuy na ku develop properties we uko next level ila watu wengi washaona hii opportunuty so wanarush huko mfano akina Patrice Ngowi na Bakresa. Kwa mwanzo ni ngum na competition bado iko chini.
 
Real Estate business ni general sana. Ni sawa na useme Kilimo kinalipa bila kuwa specific wapi hasa.

Chagua wapi unadhani ni specific interest yako ndo uje kuomba ushauri.
 
Jee unataka kuwa Real estate broker?
Agent ?
Developer?
Mortgage broker ?

Pia kuna nyanja za Property management na valuation
Sasa uchague ipi ulokusudia ku ingia..lakini zote zinalipa , ila sheria ya upande wa agent na brokers hakuna. Ni soko bangi, fujo na utapeli. Ni soko ambalo uwe ngangari kweli kwani unaweza fanya kazi na landlord akakutia ndani , na hakuna sheria kwa sasa inayo kulinda ...lakini job safi
 
Wakuu, vipi kuhusu hii biashara kibongobongo? Prospects zake zikoje? Inalipa au bado haina nguvu sana? Naona watu wengi wanaiongelea ongelea.
Ndio inatuweka mjini, sasa sijuwi mwenzetu tayari una kiwanja au viwanja, nyumba majumba?! Kama ndio start-up usiogope, kila kitu nia, at least ukiondoka hapa mother earth wachache watakukumbuka kwa hili.
Karibu benki zote zina mortgage, uwe na kiwanja chenye hati (sehemu inayolipa), kazi ya kudumu au biashara yenye leseni na kipato kizuri cha kuweza kulipa mkopo, anza na moja, jenga pangisha, halafu utafika hata ikichukuwa miaka kadhaa..kama ni kujenga na kuuza nyumba basi utapata ushauri mbeleni..
Karibu kwenye hii biashara.
N.B: Kuna link nying tu za mortgage calculator za benki ya bongo mtandaoni ujihakiki cha uwezo wako..
 
Hi unaweza anza mwenyewe kwa kujenga nyumba na kupangisha
 
Jee unataka kuwa Real estate broker?
Agent ?
Developer?
Mortgage broker ?

Pia kuna nyanja za Property management na valuation
Sasa uchague ipi ulokusudia ku ingia..lakini zote zinalipa , ila sheria ya upande wa agent na brokers hakuna. Ni soko bangi, fujo na utapeli. Ni soko ambalo uwe ngangari kweli kwani unaweza fanya kazi na landlord akakutia ndani , na hakuna sheria kwa sasa inayo kulinda ...lakini job safi
Tofauti ya agent na broker ni ipi mkuu?
 
inagharimu st: 16248435 said:
Hi unaweza anza mwenyewe kwa kujenga nyumba na kupangisha
Nyumba inagharimu sh ngp kujenga mkuu?
 
Back
Top Bottom