Real GDP Growth Rate By Country (EAC inatisha)

Yaana Tanzania yaikanyaga na kuinyongelea mbali China, jamaa zangu njooni mchukue misaada TZ
 
Kipindi uchumi wa Kenya ulikua kwa 4% mlishindwa kutupita, yaani mnanikumbusha vita vya utotoni kwamba kuna jamaa alikua hata akianguka chini, bado huwezi kumpiga.
Tanzania uchumi wake umechezea kwenye zaidi ya asilimia saba tangu tangu lakini wapo wapo tu, pengo baina yetu linaongozeka, tupo tunakaribia kuwa mara mbili yao, hawa maskini wa kutupwa, yaani hali haiakisi huo ukuaji, ndio maana waliumbuka juzi wakati mabeberu walileta data tofauti.
 
Pwahahahaha!!! Naona umeanza kuwa mnyoooonge sana. Nasubiri ile Account yako nyingine unayotumia kuanzisha threads za comparison kati ya TPDF na KDF.
Najua wewe ni mfanyikazi wa Tanzania intelligence. Endelea kutroll adi uchoke Kaka,Bora uko kazini kueneza propaganda!
 
Credibility iko compromised!Pelaka ujinga kule!
 
Kimoja kimoja kinachomolewa
GDP (PPP)

 
Libya hua siielewi kabisa, yaani pamoja na yote yaliyotokea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…