Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Kwa speed hii kuna nchi zitapitwa siyo muda mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2956][emoji1787][emoji1787][emoji1787]You are not to be taken seriously
Ninajua imeshakupata kichwani.You are not to be taken seriously
Low IQNinajua imeshakupata kichwani.
Nimerusha jiwe gizani 🤣 🤣 🤣
Pwahahahaha!!! Naona umeanza kuwa mnyoooonge sana. Nasubiri ile Account yako nyingine unayotumia kuanzisha threads za comparison kati ya TPDF na KDF.Low IQ
Najua wewe ni mfanyikazi wa Tanzania intelligence. Endelea kutroll adi uchoke Kaka,Bora uko kazini kueneza propaganda!Pwahahahaha!!! Naona umeanza kuwa mnyoooonge sana. Nasubiri ile Account yako nyingine unayotumia kuanzisha threads za comparison kati ya TPDF na KDF.
Credibility iko compromised!Pelaka ujinga kule!Kipindi uchumi wa Kenya ulikua kwa 4% mlishindwa kutupita, yaani mnanikumbusha vita vya utotoni kwamba kuna jamaa alikua hata akianguka chini, bado huwezi kumpiga.
Tanzania uchumi wake umechezea kwenye zaidi ya asilimia saba tangu tangu lakini wapo wapo tu, pengo baina yetu linaongozeka, tupo tunakaribia kuwa mara mbili yao, hawa maskini wa kutupwa, yaani hali haiakisi huo ukuaji, ndio maana waliumbuka juzi wakati mabeberu walileta data tofauti.
Kimoja kimoja kinachomolewaKipindi uchumi wa Kenya ulikua kwa 4% mlishindwa kutupita, yaani mnanikumbusha vita vya utotoni kwamba kuna jamaa alikua hata akianguka chini, bado huwezi kumpiga.
Tanzania uchumi wake umechezea kwenye zaidi ya asilimia saba tangu tangu lakini wapo wapo tu, pengo baina yetu linaongozeka, tupo tunakaribia kuwa mara mbili yao, hawa maskini wa kutupwa, yaani hali haiakisi huo ukuaji, ndio maana waliumbuka juzi wakati mabeberu walileta data tofauti.
Siyo kweli.Tanzania has been growing at 7% plus for the last 20 years
Wikiwhat? Sane people doesn`t use wikipedia