Real love

Real love

soma kwanza ndio uanze hayo............. sasa umro huu tayari ukifika sate si utakua unaweka posters hadi makaburini?
 
Aisee ndugu zangu,always mapenz yana run dunia,sisi Wavulana tunavumilia sana shida than girls.
{kuhusu kusoma ucjali,mi nasoma but siwez kufikia hatua ya kuweka post makaburini,hahahaiahahahahaha,you make me happy guys.
 
Hivi hakuna mtu anawafahamu pilots wa NASA, nataka kuwahamishia mabinti zangu mars! Am confused!
 
soma kwanza ndio uanze hayo............. sasa umro huu tayari ukifika sate si utakua unaweka posters hadi makaburini?

teh teh teh! Umenchekesha mwayego! Poster kwa makaburi? Haya wee!
 
Haya ndiyo matatizo ya barehe usipoweza kui-control.
 
Mungu wangu! Unataka kwenda segerea!
 
Mi nashindwa hata niseme nini maana mtu mwenyewe hajataja jinsia yake wala umri .
tukifuatilia jina linacheza pande zote mbili.
kinachonishangaza zaidi ni pale tunapotafsiri hadi majina kwa lugha za wenye ( Lucky = Bahati)
tuambie umri wako ilitukushauri usije ishia pabaya!!!!
 
Back
Top Bottom