REAL MADRID 2- barcelona FC 1

king ndeshi

Senior Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
135
Reaction score
7
kocha Mou ameweza kumbamiza pep guadiola 2-1 katika awanja wa camp nou, christiano Ronaldo akitupia Wavu wa pili kwa goli safi la mguu wa kulia,na kutanua wigo wa point toka 4 MPAKA 7.
 
sawa mkuu ila mbona unafungua thread tatu kuelezea kitu kimoja. unajaza server bure twiga mkubwa we
 
ronaldo 42 mesi 41 haya ni kwenye la liga tu, overal mesi 63 ronaldo 54, utadhan lig ni ya hawa jamaa, bt real jana wamenifurahsha kwa kuonyesha namna mesi anavyoweza kuzuiwa. Walimkaba xavi na iniesta tu mesi akawa hapat mipira mpaka alves apande.
 
basi tu,ila kwa mbinu guardiola hampati kabisa mou,madrid fi life!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…