king ndeshi
Senior Member
- Oct 31, 2010
- 135
- 7
kocha Mou ameweza kumbamiza pep guadiola 2-1 katika awanja wa camp nou, christiano Ronaldo akitupia Wavu wa pili kwa goli safi la mguu wa kulia,na kutanua wigo wa point toka 4 MPAKA 7.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi tu,ila kwa mbinu guardiola hampati kabisa mou,madrid fi life!ronaldo 42 mesi 41 haya ni kwenye la liga tu, overal mesi 63 ronaldo 54, utadhan lig ni ya hawa jamaa, bt real jana wamenifurahsha kwa kuonyesha namna mesi anavyoweza kuzuiwa. Walimkaba xavi na iniesta tu mesi akawa hapat mipira mpaka alves apande.