Arvin sloane
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 996
- 204
Arvin hiyo mechi imechezwa saa ngapi MkuuLeo Madrid kashampiga Valencia 2-1 na league anaongoza
Jioni hii na ishaisha tho hukuniulza mm mkuu..Arvin hiyo mechi imechezwa saa ngapi Mkuu
Thanks jeepee 007 ubarikiweJioni hii na ishaisha tho hukuniulza mm mkuu..
Cr7 header na marcelo kawapga goli la.mguu wa kulia..
Ah ah ah pa1 mkuu..marcelo ypo vzur sana kwa kweli..Thanks jeepee 007 ubarikiwe
Marcelo anazidi kunishangaza kwa aina ya uwezo wake ulivyo kama alivyo kua Robert Carlos enzi zake bale bernabeu
Ngoja nipige cm home waniandalie supu ya Kuku ya motooooo nikasheherekee
Thanks thanks
Kama wao ni mababa wa soka Juventus atakuwa baba wa mababa au?
Guardiola imeshafahamika.Na gardiola
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]Kama wao ni mababa wa soka Juventus atakuwa baba wa mababa au?
Upo au tukupe matokeo?Ninaona kuwa huenda real madrid msimu huu isichukue chochote na ikitokea hivo naona zidane akitimuliwa
Pole sana mkuu Leo ni tarehe 21 Hilo la kwanza urudi utoe mrejesho next ni cardif.polee kwa utabiri wa kichina.Ninaona kuwa huenda real madrid msimu huu isichukue chochote na ikitokea hivo naona zidane akitimuliwa
MkuuNinaona kuwa huenda real madrid msimu huu isichukue chochote na ikitokea hivo naona zidane akitimuliwa