Real Madrid huenda isitoke na kombe lolote

Real Madrid huenda isitoke na kombe lolote

Jioni hii na ishaisha tho hukuniulza mm mkuu..
Cr7 header na marcelo kawapga goli la.mguu wa kulia..
Thanks jeepee 007 ubarikiwe
Marcelo anazidi kunishangaza kwa aina ya uwezo wake ulivyo kama alivyo kua Robert Carlos enzi zake bale bernabeu
Ngoja nipige cm home waniandalie supu ya Kuku ya motooooo nikasheherekee

Thanks thanks
 
Ah ah ah pa1 mkuu..marcelo ypo vzur sana kwa kweli..
 
Kama wao ni mababa wa soka Juventus atakuwa baba wa mababa au?

Kwahyo juve ndyo baba ulimwenguni kwakua kamtoa barca? Hebu niambie Juve alichomuzidi Barca hadi sasa? Juve nawapenda na ni wakari zaidi ya timu ingime duniani.ila siyo kwa Barca mzee, tena usimpange levo moja na Baba ake.utakua umekoseya sana
 
Naona jama wa kuona jana kamaliliza kuona alichokuwa anakiona.
[HASHTAG]#hallamadrid[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom