Real Madrid ilipomaliza mechi bila kuwa na shot on target hata moja

Usitumie nguvu kujitetea. Yanga ikishinda goli moja huwa mnaiponda sana kwamba ni timu mbovu ila hapo hapo hata Madrid amewai kushinda kwa goli moja.

Hivi vitu ni vya kawaida sana, wewe kwa sasa kubali kutaniwa na kuchekwa. Usihangaike kutafute nisingizio.

NoShotOnTarget FC
 
Mnapenda kueneza propaganda halafu msijibiwe. Mkijibiwa kitaalamu na kwa facts mnasema tunatumia nguvu kujitetea. Nyie bots viumbe wa ajabu sana.
 
Mnapenda kueneza propaganda halafu msijibiwe. Mkijibiwa kitaalamu na kwa facts mnasema tunatumia nguvu kujitetea. Nyie bots viumbe wa ajabu sana.
Ni kawaida kila upande kueneza propaganda kwa mpinzani. Yanga kashinda moja kwa CBE, mkasema Yanga ni timu mbovu, ila mkasahau hata timu kubwa huwa zinashinda kwa goli moja baadhi ya mechi.

Simba katoa sare akiwa na 0 on target, mmetaniwa kidogo tayari mnakuja na mifano. Kule kwa Yanga hakuona mifano, sio?

Hiyo maan yake ni kawaida sana, muda wako wa kutaniwa ukifika kaa kwa kutulia, subiri mechi inayofuata ufute makosa.
 
Bot ni kifupi cha robot
 
Huna akili Madrid usifananishe na hayo Mavi yako ya Tanzania ni mbingu na ardhi
 
Jana pia Inter wamecheza kwa mbinu ya kupaki basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…