Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Unapowapa watu goli ambalo siyo sahihi na kuwaua kisaikolojia pengo lake halizibiki hata kama utatoa magoli mawili goli lililoiangamiza bayern ni lile goli la off side la Ronaldo. Goli la piliBac 2fanye mbili mbili
Unapowapa watu goli ambalo siyo sahihi na kuwaua kisaikolojia pengo lake halizibiki hata kama utatoa magoli mawili goli lililoiangamiza bayern ni lile goli la off side la Ronaldo. Goli la piliBac 2fanye mbili mbili
Maamuzi ya uwanjani hayaangaliwi kwa tabia za mtu au mechi zilizopita ile red card ilikuwa ya hovyo kabisa hata wachumbuzi wa soka wa dunia wamezungumzia hiloWw ni shabiki kweli hv unaweza lalamika kuhusu red card ya vidal, kuna shabiki wa soka asiyejua au asiyetambua fujo za ajabu za vidal, hukutazama mechi ya kwanza vidal alikuaje au unamuangalia vidal tu akiwa uefa,,,,,,,, halla madrid ata sisi tunaye pepe huwez muona kwnye mechi kama hzo jifunzen kutokana na makosa
Good! Mwambie mbona kipa w bayern munichen alinawa mpira akitoka nje, Madrid hawakupewa kona?Tu-assume hayo magoli mawili ya mnyama cr7 tumeyatoa inabaki Madrid 2 vs 2 munchen!
Sasa hapo amua mwenyewe Nani anaenda nusu fainali??
Kama roho zinawauma sana jinyongeni au nendeni mahakamani!
Mtoe na casemiro kwa redcard halaf mrudishe ndani Vidal, halafu aamue yeye nani alifaa kwenda nusu fainaliTu-assume hayo magoli mawili ya mnyama cr7 tumeyatoa inabaki Madrid 2 vs 2 munchen!
Sasa hapo amua mwenyewe Nani anaenda nusu fainali??
Kama roho zinawauma sana jinyongeni au nendeni mahakamani!
Basi fanya 2 kwa 2 hapo nani angetoka?exactly walibebwa sana magoli yote mawili ilikuwa ni offside dhahiri
inaonesha hata mechi za madrid zenyewe huangaliagi mkuuWw ni shabiki kweli hv unaweza lalamika kuhusu red card ya vidal, kuna shabiki wa soka asiyejua au asiyetambua fujo za ajabu za vidal, hukutazama mechi ya kwanza vidal alikuaje au unamuangalia vidal tu akiwa uefa,,,,,,,, halla madrid ata sisi tunaye pepe huwez muona kwnye mechi kama hzo jifunzen kutokana na makosa
Basi kama ni hivyo waanze upya.Unapowapa watu goli ambalo siyo sahihi na kuwaua kisaikolojia pengo lake halizibiki hata kama utatoa magoli mawili goli lililoiangamiza bayern ni lile goli la off side la Ronaldo. Goli la pili
Weka short video clip ili tujiridhishe!exactly walibebwa sana magoli yote mawili ilikuwa ni offside dhahiri
Mkuu ile game wote walishinda ugenini katika dakika 90, ndo maana ikaenda AET!Kwa penalty vipi?? Ili hali Madrid alishinda Allianz arena?