Real Madrid katika Robo Fainali dhidi ya Bayern Munich ilijawa na upendeleo kwa madrid

Bac 2fanye mbili mbili
Unapowapa watu goli ambalo siyo sahihi na kuwaua kisaikolojia pengo lake halizibiki hata kama utatoa magoli mawili goli lililoiangamiza bayern ni lile goli la off side la Ronaldo. Goli la pili
 
Hapana, Hapakuwa na Upendeleo....Real Madrid ni Wazuri kuliko Bayern Munich

Ni mchezaji yupi wa Bayern aliye mfano dhahiri wa Marcelo?
 
Ww ni shabiki kweli hv unaweza lalamika kuhusu red card ya vidal, kuna shabiki wa soka asiyejua au asiyetambua fujo za ajabu za vidal, hukutazama mechi ya kwanza vidal alikuaje au unamuangalia vidal tu akiwa uefa,,,,,,,, halla madrid ata sisi tunaye pepe huwez muona kwnye mechi kama hzo jifunzen kutokana na makosa
 
Maamuzi ya uwanjani hayaangaliwi kwa tabia za mtu au mechi zilizopita ile red card ilikuwa ya hovyo kabisa hata wachumbuzi wa soka wa dunia wamezungumzia hilo
 
35877b602564eabda1f3877c303faec9.jpg
 
Barcelona wanalalamika kama Yanga kwa simba na kagera sugar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tu-assume hayo magoli mawili ya mnyama cr7 tumeyatoa inabaki Madrid 2 vs 2 munchen!

Sasa hapo amua mwenyewe Nani anaenda nusu fainali??

Kama roho zinawauma sana jinyongeni au nendeni mahakamani!
Good! Mwambie mbona kipa w bayern munichen alinawa mpira akitoka nje, Madrid hawakupewa kona?
 
Tu-assume hayo magoli mawili ya mnyama cr7 tumeyatoa inabaki Madrid 2 vs 2 munchen!

Sasa hapo amua mwenyewe Nani anaenda nusu fainali??

Kama roho zinawauma sana jinyongeni au nendeni mahakamani!
Mtoe na casemiro kwa redcard halaf mrudishe ndani Vidal, halafu aamue yeye nani alifaa kwenda nusu fainali
 
Ww ni shabiki kweli hv unaweza lalamika kuhusu red card ya vidal, kuna shabiki wa soka asiyejua au asiyetambua fujo za ajabu za vidal, hukutazama mechi ya kwanza vidal alikuaje au unamuangalia vidal tu akiwa uefa,,,,,,,, halla madrid ata sisi tunaye pepe huwez muona kwnye mechi kama hzo jifunzen kutokana na makosa
inaonesha hata mechi za madrid zenyewe huangaliagi mkuu
 
mtoa thread ni mjumbe wa kamati ya masaa 72 TFF anatamani atolee maumuzi pambano la madrid dhidi ya bayern
 
Buyern wanacheza mpira mzuri sana! Madrid inabebwa sana hata ile kadi nyekundu kule munich alipewa kwa dhuluma
 
Back
Top Bottom