Real Madrid kutupwa nje Copa de Rey, kisa kuchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano

Real Madrid kutupwa nje Copa de Rey, kisa kuchezesha mchezaji mwenye kadi 3 za njano

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Licha ya kushinda goli 3 kwa 1 dhidi ya timu ya sedunda B, Real madrid ipo hatarini kuondolewa kwenye mchiano hiyo baada ya kocha kumchezesha mchezaji Denis Cheryshev aliefunga goli la kwanza huku akiwa na kadi 3 za njano alipaswa kutumikia adhabu kukosa mchezo huo, mchezaji huyo alipata kadi hizo akiwa kwa mkopo klabu ya Villarreal msimu iliopita.

Alipaswa kurudi na adhabu wakati anarejea real madrid. kotolewa kwa real madrid kutafanya maisha wa kocha wake Rafa Benitez kuendelea kuwa magumu.
 
Back
Top Bottom